Yeah anaweza akawa kam uncle t tuUnaweza kupata mtoto wa kiume akawa tofauti na unavyotegemea, shoga, mwizi, tapeli, jambazi au akaangukia kwa familia ya mke wake.
WAtoto umleavyo ndivyo akuavyo mara nyingi watoto wa kike hawasahau kwao.
Yeah anaweza akawa kam uncle t tuUnaweza kupata mtoto wa kiume akawa tofauti na unavyotegemea, shoga, mwizi, tapeli, jambazi au akaangukia kwa familia ya mke wake.
WAtoto umleavyo ndivyo akuavyo mara nyingi watoto wa kike hawasahau kwao.
Usimtishe mwenzako.😂😂
Kabisa maana mwanaume ana mbegu X na Y wakati mwanamke anayo X peke yake. Tatizo lipo kwako si kwa mkeo.Ukienda kupiga huko nje ukapata wa kike tena itakuwaje?
Unapongeza mtoto na kipato uongezeNina watoto wa kiume tu,Tena wawili,Niko proud sana juu ya uwepo wako,sijawahi tamani mtoto wa kike,japo mama yao analalamika Kila mara kuwa anataka mtoto wa kike.
Mimi maombi yangu kwa last born wetu awe wa kiume,yaaani utatu mtakatifu wa kiume
Lipoje kwangu? Nataka kidume.Kabisa maana mwanaume ana mbegu X na Y wakati mwanamke anayo X peke yake. Tatizo lipo kwako si kwa mkeo.
Ni sahihi. Nipo kwenye harakati. Nataka mrithi wangu. Siwezi kuwa nafukuza kuku baba mzima wa kuchinja Pasaka hii.Lomba babu mpaka upate dume..... mtt wa kike anafika chuo anakuambia nina mchumba nataka kuolewa...
Mwanaume ndo anaendeleza ukoo, na mrithi wako wa mali, mlinzi na mwangalizi wa boma !!!!!!!! Hawa wa kike hawaeleweki kabisa
Kwetu hakuna ushoga so sitalea mtoto awe shoga UKOME kuniambia hivyo. Ninachotaka niwe na mrithi. Akiwa jambazi tapeli, jambazi au mwizi ni wangu nitaenda kumuwekea dhamana na kumtoa jela.Unaweza kupata mtoto wa kiume akawa tofauti na unavyotegemea, shoga, mwizi, tapeli, jambazi au akaangukia kwa familia ya mke wake.
WAtoto umleavyo ndivyo akuavyo mara nyingi watoto wa kike hawasahau kwao.
Hongera.Mimi Nina mabinti wawili
Nawapenda mno
Hii Hadi raha,kuku akipotea lawama Kwa kaka ndiye mwenye majukumu😁,Ni sahihi. Nipo kwenye harakati. Nataka mrithi wangu. Siwezi kuwa nafukuza kuku baba mzima wa kuchinja Pasaka hii.
Nikisafiri saa moja wameshajifungia ndani. Wanaogopa.
Sitaki ushauri, nataka kidume sasa.Siku hizi watoto wa kike ndo wanaendeleza mali za familia.....Game imebadilika mzee...
Anaenda kupiga nje Mungu anambariki mapacha wa kike watatu.Ukienda kupiga huko nje ukapata wa kike tena itakuwaje?
Teknolojia imekua siku hizi kuna "IVF" hapahapa Tz watu walikua wanaenda U.S.A na Ulaya.Ni sahihi. Nipo kwenye harakati. Nataka mrithi wangu. Siwezi kuwa nafukuza kuku baba mzima wa kuchinja Pasaka hii.
Nikisafiri saa moja wameshajifungia ndani. Wanaogopa.