Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Kabisa maana mwanaume ana mbegu X na Y wakati mwanamke anayo X peke yake. Tatizo lipo kwako si kwa mkeo.
Tatizo sio kwa mwanaume, kwenye siku za kupata ujauzito kwa mwanamke Kuna siku ya mtoto wa kiume na siku ya wakike....hospitalini wakienda wanapewa maelekezo
Au kufuata jinsi make wake kalenda yake inavyokwenda
 
Huenda ikawa kweli Kuna namna unajisikia vibaya, sijapitiaaa janga kama hili.
Ika mzee shukuru ulichonacho, unaweza ukagonga nje na ukaambulia wa kike tena na ujaleta msala nyumbani..

Jaribuni kwenda hospital, mnaweza kupata ushauri wa kitabibu namna ya kusaka mtoto wa kiume
Kutopata mtoto wa kiume ni janga?!
 
Si watu husema kuwa wazazi wa kiume wanapenda sana watoto wa kike, japo kwangu ni tofauti kidogo...matokeo ya Tabia za mtoto wa kiume huko mbele hutokana na vitu vingi but mtoto wa kiume ni wa kiume...naelewa Sana unachohisi, huwa kuna vitu ukifikiria unahisi Tu kuna kitu nyumbani kinakosekana, yaani kuna ombwe Tu unaona nyumbani kwasababu ya kukosekana mtoto wa kiume....Maisha yalivyo hayawezi kukupa Kila kitu unachokitamani.
Hakuna ombwe lolote wala kitu anachokosa, ni ujinga na ujima tu.
 
Kubwa sana. Hakuna wa kuendeleza ukoo wako. Ukoo wako umeishia kwako. Mtoto wa kike hatoi jina, anatoa wa kiume. Ndio maana mkeo akijifungua wanakusubiri uje umuone mtoto na utoe jina lake wewe baba yake.
Unaendeleza ukoo ili iweje?
Nani amekupa majukumu ya kuendeleza ukoo?
Ukoo usipoendelea kuna tatizo gani??
 
Unaendeleza ukoo ili iweje?
Nani amekupa majukumu ya kuendeleza ukoo?
Ukoo usipoendelea kuna tatizo gani??
Mtoa mada inaonekana ni mangi sasa akikaa na ndugu zake kwenye vikao vya familia wanamwambia

" Aisee mangi fanya upate mtoto wa kiume hizi mali zote ulizonazo hazina maana yoyote kama huna mtoto wa kiume"
 
Lomba babu mpaka upate dume..... mtt wa kike anafika chuo anakuambia nina mchumba nataka kuolewa...

Mwanaume ndo anaendeleza ukoo, na mrithi wako wa mali, mlinzi na mwangalizi wa boma !!!!!!!! Hawa wa kike hawaeleweki kabisa
Anazo mali za kurithisha hao watoto??
Nyumba ya kupanga nalo ni boma la kuhitaji mwangalizi??
 
Hiyo mbinu ya kutoka nje ya ndoa kumsaka mtoto wa kiume ilinigharimu mno kwani ilinivurugia maisha lengo halikutimia na halijatimia hadi sasa kwani niliambulia wavulana tu kwa wanawake tofauti watano.
Ni shida kwa kweli pale wavulana wangu hawa wanakosa dada.
 
Anazo mali za kurithisha hao watoto??
Nyumba ya kupanga nalo ni boma la kuhitaji mwangalizi??
Mzee mbona unajitahidi kuniletea shobo. Mimi nimeamua sasa we Kipenzi cha Samia kinacho kuuma nini?

Unataka nikuambie mi nani na ninamiliki nini ili iwaje? Unataka unitunuku tako ili nikuzalishe? Nyie mashoga huwa Hamzai, mngekuwa mnazaa ningekukula nifumue tuzi hilo. 😂😂😂
 
Hiyo mbinu ya kutoka nje ya ndoa kumsaka mtoto wa kiume ilinigharimu mno kwani ilinivurugia maisha lengo halikutimia na halijatimia hadi sasa kwani niliambulia wavulana tu kwa wanawake tofauti watano.
Ni shida kwa kweli pale wavulana wangu hawa wanakosa dada.
Kwamba ulikuwa na wa kiume ukawa unatafuta wa Kike na huko utapata wa KIUME tena?
 
Back
Top Bottom