Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Mzee mbona unajitahidi kuniletea shobo. Mimi nimeamua sasa we Kipenzi cha Samia kinacho kuuma nini?

Unataka nikuambie mi nani na ninamiliki nini ili iwaje? Unataka unitunuku tako ili nikuzalishe? Nyie mashoga huwa Hamzai, mngekuwa mnazaa ningekukula nifumue tuzi hilo. 😂😂😂
Kumbe tayari wewe ni shoga wa kwanza kwenye ukoo wenu halafu ulikuwa unajisifia ujinga ukoo wenu haujawahi kutoa shoga.
 
Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four.

Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa wa kike, nikiongea hao wengine niliamini nitapata kidume nyumbani kwangu.

Hawana changamoto yoyote na wanaendelea na masomo vizuri tu wakiwa na afya na ukuaji mzuri ila kama baba kuna muda napata mawazo kwa kukosa mtoto wa kiume. Naogopa kuongeza kwa huyu mama kwani tunaweza ambulia wa kike tena.

Kimsingi sasa natafuta niweke mbegu huko Pembeni nipate kidume na nimlete kumlea na hawa wenzake. Kuna changamoto nyingi kwa nyumba kukosa mtoto wa kiume.

Changamoto ya Kwanza ndio mrithi wa familia na atakayeendeleza Jina na damu yangu. So kukosa mtoto wa kiume hadi sasa sina mrithi wa mali yangu na atakayeendeleza jina langu.

Pili, kushindwa kufanyika kwa baadhi ya kazi nyumbani kama utunzaji wa mifugo na mbwa ninazofuga, kukosa wa kunichinjia mbuzi au kuku.

Changamoto ya tatu, kukosa wa kuniuguza uzeeni ambaye atanisaidia pia kama mwanaume mwenzake.

Changamoto ya nne kukosa mlinzi na msimamizi wa nyumba kipindi nasafiri kwani huwa nasafiri sana kikazi na kibiashara.

Kimsingi, ni ngumu sana nyumba kukosa mtoro wa kiume. Sasa natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayari kuzaa nami na nitamfungulia na kumjengea alee mwanangu na akiwa na miaka 7, nachukua mwanangu.

Ni raha sana kuwa na jamaa anayecheza mpira hapa nyumbani na atakayeniletea kesi za kutia mimba huko nje.

Je wewe mwenye watoto wa kike tu, una changamoto zipi?
Umenikumbusha Professor mmoja, alikuwa na mke wake kisu balaa, na binti zake kisu. Lakini hana mtoto wa kiume. Akatafuta mpango wa kando, ukamzalia mtoto wa kiume. Alimfungulia na biashara safi huyo mchepuko. Professor alipotangulia mbele za haki, ndio ikabainika kuwa hata huyo mtoto wa kiume, hakuwa wake.
 
Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa hawa binti zangu wawili nilionao, hizi zote ni baraka na rehema zake. Mawazo kama hayo hunijia mara moja moja hasa suala la nikizeeka mtoto wa kiume wa kiniuguza. Lkn nimehitimisha kuwa hatma yangu anaijua huyo aliyeniumba. Unaweza kupata mtoto wa kiume si riziki, unaweza pata mtoto wa kiume ambaye muda ukifika atakuwa anafanya kazi marekani hata muda wa kukuuguza atakuwa hana, au unaweza kupata lakini wala asije kukujali. Just enjoy what Almight GOD brings to you, usifikirie sana habari za kesho, hiyo kesho itajishughulikia yenyewe. Habari za mtu wa kubeba majina, thats just culture, haina value addition yoyote baada ya wewe kuondoka duniani maana amali zako zote zitakuwa zimekata na pengine hutakuwa na mawasiliano yoyote na dunia. So enjoy what the life provides for you. Nawapenda binti zangu.
 
Kimsingi sasa natafuta niweke mbegu huko Pembeni nipate kidume na nimlete kumlea na hawa wenzake. Kuna changamoto nyingi kwa nyumba kukosa mtoto wa kiume.
🙄🙄🙄 Hujui kwamba wewe ndio unaleta mtoto wa kike au wakiume? Hata huko pembeni unapojiandaa kuweka mbegu utapata wa kike tu, kwa akili kama zako hizi. 😏😏
 
Ukienda kupiga huko nje ukapata wa kike tena itakuwaje?

Samahani, hii ndio popo kanyea mbingu style?
Hapana popo ni hii hapa utamwaga hadi ubongo
images (3) (23).jpeg
 
Namshukuru Mwenyezi MUNGU kwa hawa binti zangu wawili nilionao, hizi zote ni baraka na rehema zake. Mawazo kama hayo hunijia mara moja moja hasa suala la nikizeeka mtoto wa kiume wa kiniuguza. Lkn nimehitimisha kuwa hatma yangu anaijua huyo aliyeniumba. Unaweza kupata mtoto wa kiume si riziki, unaweza pata mtoto wa kiume ambaye muda ukifika atakuwa anafanya kazi marekani hata muda wa kukuuguza atakuwa hana, au unaweza kupata lakini wala asije kukujali. Just enjoy what Almight GOD brings to you, usifikirie sana habari za kesho, hiyo kesho itajishughulikia yenyewe. Habari za mtu wa kubeba majina, thats just culture, haina value addition yoyote baada ya wewe kuondoka duniani maana amali zako zote zitakuwa zimekata na pengine hutakuwa na mawasiliano yoyote na dunia. So enjoy what the life provides for you. Nawapenda binti zangu.
Wazo zima la kutaka kuwa na mtoto ili aje akutunze uzeeni ni kufanya jambo la familia kuwa biashara ya utumwa.

Zaidi, kuwa obsessed kutaka mtoto wa kiume kwa sababu una watoto wa kike tu ni kumdogosha mtoto wa kike kuwa hatoshi, ni dhaifu, na mtoto wa kiume ndiye anayefaa.
 
Kwa nini mnasubiria kujengewa na watoto badala ya kujenga nyie wenyewe? Kwa nini Waafrika bado mnaendelea kuwafanya watoto vitega uchumi, uwekezaji na pensheni za uzeeni??

Swali zuri, niliposema "kujenga ukoo" sina maana ya majumba n.k. Kujenga ukoo ni kuuendeleza na kuukuza kwa vizazi vijavyo. Hakuna mtu anafanya watoto vitega uchumi, waafrika wengi wana mali na koo na wanataka ziendelezwe kupitia urithi "succession plan".
Hii sio waafrika tuu mkuu, wahindi, waajemi, waarabu hata wahindi wanafanya urithi kwenye bloodline na mali, lazima familia iongezwe na wakuziongeza ni watoto wa kiume.
 
Huo ni mfumo wa maisha wa Waafrika masikini hasa wa bara, kwa familia za matajiri na jamii za Pwani mambo ni tofauti kabisa.

Sio watu masikini, matajiri wote duniani wanapambana namna ya kuongeza familia na kurithisha mali kwa vizazi na vizazi. Na wanafahamu kufanya hivyo ni merit-based yaani mzaliwa wa kiume ndio anakuwa na sifa ya kuitwa ukoo flani. Ndio maana Obama pamoja na kuzaliwa Marekani na kuwa raisi wa Marekani, bado alikuwa na jina la kijaluo la Obama. 😊
Kwanini Obama asingejiita Bush, Roosevelt, Washington au Clinton?
Ni nature iliamua hivyo na nature lazima iheshimiwe.

Waangalie Kenyatta's family, ile no bloodline, ni legacy na ni muendelezo wa utawala, utajiri na biashara. Leo wewe huwezi kuwa Kenyatta bila kuzaliwa katika bloodline yao.
Mtazame Mo Dewji ni matokeo tuu yale ya bloodline, wewe leo huwezi jiita Dewji, ni nature ndio inaamua wewe uwe ukoo gani. Kwa hiyo muendelezo wa ukoo ni kitu cha maana, ni utambulisho wa mtu kwa asili yake, ni urithi na ni ufahari.
 
Back
Top Bottom