Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Unamaanisha ukoo au jina lako binafsi?? Haiwezekani ukoo wenu ukaisha kwa sababu ya wewe mtu mmoja kutokuwa na mtoto wa kiume. Koo za Obama, Bush Jr au Putin haziwezi kuisha kwa sababu ya wao kutokuwa na watoto wa kiume.

Mkuu hakuna jina binafsi!
Wewe hukujipa hayo majina uliyonayo.
Ulizaliwa ukapewa majina matatu.
La kwanza ni lako, la pili la baba yako, la tatu la ukoo wako.

Jina la kwanza ulipewa na baba yako, jina la pili baba yako alipewa na baba yake, jina la tatu baba yako na yeye kalikuta, ni la ukoo wenu. 😊

Nyongeza; Jina lako la kwanza ulipewa sababu ya jinsia yako, Janeth hawezi kuitwa John, na kinyume chake.
 
Kwa hiyo usipozaa mtoto wa kiume jina la tatu la ukoo wenu litapotea??
It doesn't make sense.
 
Masikini makupuku wa Africa wasio na chochote cha maana hasa maeneo ya bara ndio zaidi wana mawazo ya aina hii.

Iwe ni mwafrika, mzungu, mwarabu au muajemi. Uwe masikini au tajiri, bado mtoto wa kiume ana nafasi yake kwenye familia ya mtu. Hao hao wazungu unaowatukuza ndio wameleta surrogate, ultrasound,artificial womb, test tube babies, sperm selection and analysis ili tuu wawe na uchaguzi na jinsia za watoto wao lengo lile lile la kimajukumu.
Sio wajinga, wanataka wawe na uchaguzi na jinsia za watoto wao kwa lengo lile lile la kimajukumu, kiurithi na kuendeleza kizazi.. 😊
Kama mwanamfalme wa uingereza anapanga jinsia ya mtoto, itakuwa mimi mchimba chumvi wa Mpitimbi au Utegi. 😁

Nyongeza; Gharama ya kupandikiza mimba na uchaguzi wa jinsia ni gharama, lakini hao hao matajiri ndio wateja wakubwa wa huduma hiyo. Nenda hapo Muhimbili, huduma hiyo ipo, bei sio ya kila mtu.
 
Kwa hiyo usipozaa mtoto wa kiume jina la tatu la ukoo wenu litapotea??
It doesn't make sense.

Tajiri, watoto wako wa kike hata wawe 200, watoto wao hatachukua jina la ukoo wako. Watapewa majina ya koo zingine, wao na watoto wao. Hakuna mwanaume atazaa na mtoto wako na kumpa jina la ukoo wako.
 
Tukiambiwa Watanzania wengi UWEZO WETU WA KUFIKIRI BADO NI FINYU NI Kwenye mambo kama haya
Wafuatao wana watoto wa kike tu
1. Aliko Dangote
2. Vladmir Putin
3. Barack Obama
4. George Bush
5. The Rock
6. Kobe Bryant
7. Matt Damon
8. Mwenye Impala Hotel ya Arusha (marehemu)

Na wengine wengi, naelewa unachopitia
Ishi kwa wakati uliopo hata ww ulipo huna ukaribu na baba yako kivile
Swala la urithi litaamuliwa na utakaowaacha
Mtoto wa kiume anaejielewa hata huo urithi atakua hana muda nao na yeye atahangaika atengeneze MJI wake kama wewe baba yake
“ENJOY MAISHA, ISHI WAKATI ULIOKO”
Chakata mkeo vya kutosha
Furahia kwa hapo ulipofika
 
Acha kunipangia maisha dogo.

Pumbavu.
 
Tajiri, watoto wako wa kike hata wawe 200, watoto wao hatachukua jina la ukoo wako. Watapewa majina ya koo zingine, wao na watoto wao. Hakuna mwanaume atazaa na mtoto wako na kumpa jina la ukoo wako.
Bado sielewi tatizo liko wapi kwenye ukoo wenu wewe mtu mmoja usipozaa mtoto wa kiume.
Pia sioni umuhimu wowote wa watoto kuchukua jina la ukoo. Sioni tija yoyote kuwa na jina la ukoo fulani kwa nchi kama ya Tanzania ambapo hata huwezi kulitumia hilo jina la ukoo kukubeba kupata ajira nzuri au dili. Mfano Madaraka Nyerere ni mtu wa kawaida tu pamoja na kuwa na jina kubwa sana la ukoo.
 
Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four.
Hongera sana mkuu kwa zawadi hii uliyobarikiwa nayo.
Changamoto ya Kwanza ndio mrithi wa familia na atakayeendeleza Jina na damu yangu. So kukosa mtoto wa kiume hadi sasa sina mrithi wa mali yangu na atakayeendeleza jina langu.
Watoto wa kike wanabeba damu yako kama tu watoto wa kiume. Kuhusu jina ni kweli, hawaendelezi jina ila pia kinachoendelezwa si jina lako, ni jina la jamaa fulani hivi huko nyuma mmelibeba kama jina la ukoo mnaliendeleza.

Tofauti na watoto wa kiume, watoto wa kike hawaendelezi jina la ukoo ila DNA yako inaendelea. Mjukuu wako akipimwa DNA, utaonekana.

Kama umekosa mwanaume na unahitaji sana kuendeleza jina la ukoo, alternative nzuri ya kuendeleza jina ni kufanya jambo ambalo jina litaishi na kuendelezwa na jamii.

Kuna mzee mmoja alijenga bomba la maji shule fulani hivi mikoani, Wanafunzi wakapachika Lile eneo lenye bomba jina la mzee. Aisee, miaka na miaka imepita, mzee alishafariki ila mpaka leo lile eneo jina lake limeendelea kuwepo. Na uwezekano ni kuwa jina litaendelea kuishi katika hilo eneo.

Imagine Obama, wanasema ni mkenya. Jina Obama pengine wapo watu wameliendeleza kwa kuzaa watoto, ila B.Obama kaliendeleza kwa kuwa raisi wa USA na hilo jina litaishi mno.

Hayo mengine kama kuchinjiwa kuku na kuuguzwa si guarantee. Watoto wanakaa nyumbani muda mchache mno, shule na kazi zinawaweka mbali na nyumbani. Mkeo ndo angalau anaweza kukuuguza.
 
Rais Obama mwenyewe hana mtoto wa kiume ila jina lake ndilo litadumu na kuwatambulisha ukoo wa Obama milele tofauti na wale Obama wengine walio na watoto kumi wa kiume. Waafrika wengi wana ujinga wa kudumu.
 
Suluhisho lako la kuzaa na mke yeyote ni la kipumbavu) .Tatizo la kuopata mtoto wa kiume haitakiwi kukufanya ujifananishe na jogoo,au beberu,nk ambao huzaa ovyo (because they aren't human)
Wanaokupa mipangilio ya kisayansi na ya wanyama inayohusu staili za kulala na mwanamke(staili za wanyama kuonyesha wamechoka kuwa binadamu) na maswala ya karenda wanakupoteza tu, usisahau kuwa WEWE NI BINADAMU.

Suluhisho langu
1.Umtegemee MUNGU. (Usiende kwa waombeaji utapigwa hela nyingi, simama mwenyewe).
2.Usitafakari sana kuhusu mtoto wa kiume (endelea kuzaa ukijua utapata).unaweza kuzunguka Dunia nzima ukalala na yeyote ukaishia kupewa damu ya mtu mwingine uitunze na kuirithisha mali just because you are desperate.
Kama unataka ushauri zaidi au maelezo zaidi be free
 
Tukiambiwa Watanzania wengi UWEZO WETU WA KUFIKIRI BADO NI FINYU NI Kwenye mambo kama haya
Wafuatao wana watoto wa kike tu
1. Aliko Dangote
2. Vladmir Putin
3. Barack Obama
4. George Bush
5. The Rock
6. Kobe Bryant
7. Matt Damon
8. Mwenye Impala Hotel ya Arusha (marehemu)

Na wengine wengi, naelewa unachopitia
Ishi kwa wakati uliopo hata ww ulipo huna ukaribu na baba yako kivile
Swala la urithi litaamuliwa na utakaowaacha
Mtoto wa kiume anaejielewa hata huo urithi atakua hana muda nao na yeye atahangaika atengeneze MJI wake kama wewe baba yake
“ENJOY MAISHA, ISHI WAKATI ULIOKO”
Chakata mkeo vya kutosha
Furahia kwa hapo ulipofika
Muongezee na
9. Xi Jinping
10. Michael Bloomberg
 
Rais Obama mwenyewe hana mtoto wa kiume ila jina lake ndilo litadumu na kuwatambulisha ukoo wa Obama milele tofauti na wale Obama wengine walio na watoto kumi wa kiume. Waafrika wengi wana ujinga wa kudumu.
Kabisa mkuu.
 
Bado sielewi tatizo liko wapi kwenye ukoo wenu wewe mtu mmoja usipozaa mtoto wa kiume.
Pia sioni umuhimu wowote wa watoto kuchukua jina la ukoo. Sioni tija yoyote kuwa na jina la ukoo fulani kwa nchi kama ya Tanzania ambapo hata huwezi kulitumia hilo jina la ukoo kukubeba kupata ajira nzuri au dili. Mfano Madaraka Nyerere ni mtu wa kawaida tu pamoja na kuwa na jina kubwa sana la ukoo.

Sawa. Nimekuelewa tajiri. 😁
 
Back
Top Bottom