Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Sawa. Nimekuelewa tajiri. 😁
Jitahidini mkuu kujenga hoja zenye mashiko kwa nini watoto wa kiume ni wa muhimu kuliko wa kike. Vinginevyo labda mseme ni mapenzi na matamanio yenu tu kibinafsi au mila, tamaduni na pressure za jamii mnazotoka na kuishi zinawapa thamani kubwa zaidi watoto wa kiume kuliko wa kike.
 
Hayo sielewi,butkwangu ipo hivyo,,nilitamani na ikawa,na tuna enjoy nae.
Ni sawa kutamani kuwa na mtoto wa kiume kama matamanio yako binafsi, Kuna watu pia wanatamani kuwa na wototo wa kike. Ujinga ni kusema sijui unatamani mtoto wa kiume ili aendeleze jina la ukoo, arithi kibanda chako,akuchinjie kuku au akulee uzeeni, huo ni ujinga na ujima.
 
Jitahidini mkuu kujenga hoja zenye mashiko kwa nini watoto wa kiume ni wa muhimu kuliko wa kike. Vinginevyo labda mseme ni mapenzi na matamanio yenu tu kibinafsi au mila, tamaduni na pressure za jamii mnazotoka na kuishi zinawapa thamani kubwa zaidi watoto wa kiume kuliko wa kike.

Mkuu, mimi nimejenga hoja yenye mashiko, mtoto wa kike ana nafasi yake kwenye familia, na mtoto wa kiume ana nafasi yake pia. Hawa watu hawawezi kuwa sawa sawa entitlement na privileges, kuna privileges mtoto wa kiume atazipata zaidi kuliko wa kike.
Nimekujibu kwamba nimekuelewa, nilitaka tusifike mbali. Hata hivyo naheshimu mawazo yako mkuu na sio lazima niyakubali.
 
Ni sawa kutamani kuwa na mtoto wa kiume kama matamanio yako binafsi, Kuna watu pia wanatamani kuwa na wototo wa kike. Ujinga ni kusema sijui unatamani mtoto wa kiume ili aendeleze jina la ukoo, arithi kibanda chako,akuchinjie kuku au akulee uzeeni, huo ni ujinga na ujima.
Basi kama kuendeleza jina Kwa baba yangu hakuna coz tupo 3 wote wa kike na kashafariki,imeishia hapo,,,,
 
Mtoto wa kike wa Michael Bloomberg akizaa mtoto na wewe "Yoda", utampa jina la Bloomberg?
Sio tu watoto wetu nitakayezaa naye wataitwa Bloomberg, yeye akitaka hata nibadili jina langu la ukoo niitwe Yoda Bloomberg nipo tayari kabisa kiroho safi😁. Jina la ukoo wetu halijawhi kunisaidia chochote mpaka sasa.
 
Na declare interest. Mi ni Baba wa watoto 4 wote wa kike. Mtoto Mkubwa yupo Form 3 na mdogo yupo Class four.

Kwanza nashukuru Mungu kwa kunipa mabinti 4. Kimsingi baada ya wawili wa kwanza kuwa wa kike, nikiongea hao wengine niliamini nitapata kidume nyumbani kwangu.

Hawana changamoto yoyote na wanaendelea na masomo vizuri tu wakiwa na afya na ukuaji mzuri ila kama baba kuna muda napata mawazo kwa kukosa mtoto wa kiume. Naogopa kuongeza kwa huyu mama kwani tunaweza ambulia wa kike tena.

Kimsingi sasa natafuta niweke mbegu huko Pembeni nipate kidume na nimlete kumlea na hawa wenzake. Kuna changamoto nyingi kwa nyumba kukosa mtoto wa kiume.

Changamoto ya Kwanza ndio mrithi wa familia na atakayeendeleza Jina na damu yangu. So kukosa mtoto wa kiume hadi sasa sina mrithi wa mali yangu na atakayeendeleza jina langu.

Pili, kushindwa kufanyika kwa baadhi ya kazi nyumbani kama utunzaji wa mifugo na mbwa ninazofuga, kukosa wa kunichinjia mbuzi au kuku.

Changamoto ya tatu, kukosa wa kuniuguza uzeeni ambaye atanisaidia pia kama mwanaume mwenzake.

Changamoto ya nne kukosa mlinzi na msimamizi wa nyumba kipindi nasafiri kwani huwa nasafiri sana kikazi na kibiashara.

Kimsingi, ni ngumu sana nyumba kukosa mtoro wa kiume. Sasa natafuta mwanamke ambaye atakuwa tayari kuzaa nami na nitamfungulia na kumjengea alee mwanangu na akiwa na miaka 7, nachukua mwanangu.

Ni raha sana kuwa na jamaa anayecheza mpira hapa nyumbani na atakayeniletea kesi za kutia mimba huko nje.

Je wewe mwenye watoto wa kike tu, una changamoto zipi?
Kuna wengine hata hao wakike wanatamani wapate,fu..k life.

Shukuru kwa hao walee watunze vyema.
 
Ni sawa kutamani kuwa na mtoto wa kiume kama matamanio yako binafsi, Kuna watu pia wanatamani kuwa na wototo wa kike. Ujinga ni kusema sijui unatamani mtoto wa kiume ili aendeleze jina la ukoo, arithi kibanda chako,akuchinjie kuku au akulee uzeeni, huo ni ujinga na ujima.
Hujielewi. Mtoto wa kike sio wako ni shamba la watu
 
Sio tu watoto wetu nitakayezaa naye wataitwa Bloomberg, yeye akitaka hata nibadili jina langu la ukoo niitwe Yoda Bloomberg nipo tayari kabisa kiroho safi😁. Jina ukoo wetu halijawhi kunisaidia chochote mpaka sasa.

Haitawezekana mkuu, wewe huwezi kuitwa Bloomberg! You don't belong there. 😁
Wewe ukimuoa binti wa Bloomberg, yeye anaweza kuacha jina lake hilo, akaanza kuitwa "... Yoda".
Lakini wewe huwezi itwa Bloomberg kwa kuoa huko. Piga ua garagaza. 😁

Nje ya mada: Pole sana mkuu kama jina la familia/ukoo halijawahi kuwa msaada kwako kwa privileges, entitlement au vyovyote vile.
 
Back
Top Bottom