Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Nenda kamueleze huo ujinga wako baba yake Samia kama atakuelewa.Hujielewi. Mtoto wa kike sio wako ni shamba la watu
Nenda kamueleze huo ujinga wako baba yake Samia kama atakuelewa.Hujielewi. Mtoto wa kike sio wako ni shamba la watu
Sasa kunafaida gan kutafuta mali nakujenga vitu vyakudumu nahuna mpango wakurithisha vizaz vyako kwajina lakoSasa jamii yako kuendelea kuzaana kwa wingi kuna faida gani mahususi kwako, kwa nchi au kwa dunia??
Yani nyie ukoo wa Mkude mkiwa wengi ina faida gani kwako, kwenu, kwa nchi au kwa dunia??
Utakosaje Mrithi,kwani hao wa kike hawawezi kurithi? Labda hapo kwenye kuendeleza jina na kizazi chako
Mzee amepoteza legacy yake ona sasa nguvu zote ametumia kuwajenga watoto wake lakin leo hakuna waendeleza mabint zake wanazaa watoto wakoo zingine duuuBasi kama kuendeleza jina Kwa baba yangu hakuna coz tupo 3 wote wa kike na kashafariki,imeishia hapo,,,,
😂😂😂😂 Chamlevi huliwa namgema, duu huu msemo umenikumbusha mbaaaliMali ukimpa mtoto wa kike, iwe bongo au ulaya, watazila tuu wajuba. Wazee wa kitonga, wazee wa kutapeli wnawake kimapenzi ili wawaibie au wanugaike nao. Mario wengi sana sikuhizi. Cha mlevi, huliwa na mgema.
Kwa study za sikuhizi yai ndio linalochagua mbegu gani iingie kurutubisha.Kwanza kabla ya kutangatanga sana kwa wanawake tofauti kutafuta mtoto wa kiume unatakiwa uelewe kuwa baba ndiye anayepelekea mtoto kuzaliwa wa kike au wa kiume.
Kwa hiyo hapo kati yako wewe na mwanamke anayekuzaa watoto wa kike, anayesababisha watoto wazaliwe wa kike ni wewe si mwanamke.
"The father determines the sex of the baby. While the mother’s egg always provides an X chromosome, the father’s sperm carries either an X (resulting in a girl, XX) or a Y (resulting in a boy, XY) chromosome. Therefore, the specific sperm that fertilizes the egg determines the baby’s sex."
Inategemea na akili ya huyo Mtoto wa kike. Hata wa kiume wapo wengi wakipewa urithi wanauza kabisa mali zote na wa kike anaweza kuendeleza mali.Mali ukimpa mtoto wa kike, iwe bongo au ulaya, watazila tuu wajuba. Wazee wa kitonga, wazee wa kutapeli wnawake kimapenzi ili wawaibie au wanugaike nao. Mario wengi sana sikuhizi. Cha mlevi, huliwa na mgema.
😂😂😂😂 Chamlevi huliwa namgema, duu huu msemo umenikumbusha mbaaali
Weka hizo studies hapa.Kwa study za sikuhizi yai ndio linalochagua mbegu gani iingie kurutubisha.
Watoto wa kiume kuzaliwa huhitaji hasa utulivu wa mwanamke kwa sababu nature ina prefer zaidi mwanamke ili kuongeza survaival rate ya species kuliko mwanaume.
Ni utamaduni tu unakusumbua, kuna mabilionea wengi duniani ambapo hata wewe ukipewa maisha ya miaka elfu moja hutakaa uweze kupata hata 1% ya pesa walizo nazo na bado wao hawana wototo kabisa, sio hata hao wa kike ambao nyie mnaona sio watoto kamili.Sasa kunafaida gan kutafuta mali nakujenga vitu vyakudumu nahuna mpango wakurithisha vizaz vyako kwajina lako
Hakika Swahiba.Asikate tamaa na pia amtangulize sana Mungu kwenye maombi yake 😀
Kwamba atafanyaje?Nenda kamueleze huo ujinga wako baba yake Samia kama atakuelewa.
Hujui unachosema, Hawa wote waliachiwa urithi na baba zao na wanazo pesa za kuwabadilisha jina la ukoo wanaume wote kwenye ukoo wenu.Mali ukimpa mtoto wa kike, iwe bongo au ulaya, watazila tuu wajuba. Wazee wa kitonga, wazee wa kutapeli wnawake kimapenzi ili wawaibie au wanugaike nao. Mario wengi sana sikuhizi. Cha mlevi, huliwa na mgema.
UongoKwa study za sikuhizi yai ndio linalochagua mbegu gani iingie kurutubisha.
Watoto wa kiume kuzaliwa huhitaji hasa utulivu wa mwanamke kwa sababu nature ina prefer zaidi mwanamke ili kuongeza survaival rate ya species kuliko mwanaume.
Achana na mimi🤣Nipe uzoefu mama😅😅
Hao wataendeleza tuHuna wa kuendeleza ukoo