Changamoto za kutokuwa na mtoto wa kiume kwenye familia

Wazo zima kwamba mtoto wa kike haendelezi ukoo ni wazo la kibaguzi sana.

Hakuna mtu/watu wanapewa jina la mwanamke au la ujombani. Wewe hapo pia ulipewa jina la baba yako, likafuatiwa na jina la ukoo/familia yako.
Kwanini hukupewa jina la ujombani/la kwao mama yako?
Wametoa mifano hapa ya matajiri wa Marekani na Ulaya, ambako ndipo Feminism ipo kwa kiwango cha kuzidi. Nimewauliza hao matajiri watoto wao wanapewa majina ya umamani/ujombani. Hawataki kujibu.

Nakupa kisa kutoka huko huko Marekani, kwenye kiwango kikubwa cha ustarabu. Ukisoma historia ya Obama, Baba yake Obama Sr, alimzaa Obama huko Honolulu, badae baba yake Obama (Mjaluo) akarudi Kenya, na kufia Kenya miaka ya 80's. Obama alivyokuwa ikabidi aanze kutafuta chimbuko lake. Akaja Kenya na kuwajua ndugu zake na akawapata.
Kwanini mama yake Obama hakumpa Obama jina la Dunham ambalo ni jina la familia/koo yake?
Kwanini Obama mwenyewe, msomi aa Harvard na Columnia university, hakubadili majina yake na kuitwa ya ujombani? Au ya mtu mwinginr yeyote huko Marekani??

Nimemuuliza mtu mmoja huko juu, kwamba akiendea kumuoa mtoto wa Michael Bloomberg, mtoto wake atakaezaliwa na binti wa Bloomberg atapewa jina lake au la Bloomberg?
Hajajibu hilo swali. 😁
Haya ajitokeze mtu, akamuoe Sasha Obama, wazae mtoto amuite Obama. Hata Obama mwenyewe atakataa. 😁

Kwa hiyo hoja/wazo kwamba mwanamke haendelezi familia/ukoo ipo na mashiko, japo feminists wanaikataa.
Kila mtu ana kwao,na kwao ni kiumeni.
 
Hakuna mtu/watu wanapewa jina la mwanamke au la ujombani. Wewe hapo pia ulipewa jina la baba yako, likafuatiwa na jina la ukoo/familia yako.
Kwanini hukupewa jina la ujombani/la kwao mama yako?
Wametoa mifano hapa ya matajiri wa Marekani na Ulaya, ambako ndipo Feminism ipo kwa kiwango cha kuzidi. Nimewauliza hao matajiri watoto wao wanapewa majina ya umamani/ujombani. Hawataki kujibu.

Nakupa kisa kutoka huko huko Marekani, kwenye kiwango kikubwa cha ustarabu. Ukisoma historia ya Obama, Baba yake Obama Sr, alimzaa Obama huko Honolulu, badae baba yake Obama (Mjaluo) akarudi Kenya, na kufia Kenya miaka ya 80's. Obama alivyokuwa ikabidi aanze kutafuta chimbuko lake. Akaja Kenya na kuwajua ndugu zake na akawapata.
Kwanini mama yake Obama hakumpa Obama jina la Dunham ambalo ni jina la familia%koo yake?
Kwanini Obama mwenyewe, msomi aa Harvard na Columnia university, hakubadili majina yake na kuitwa ya ujombani? Au ya mtu mwinginr yeyote?
Nimemuuliza mtu mmoja huko juu, kwamba akiendea kumuoa mtoto wa Michael Bloomberg, mtoto wake atakaezaliwa na binti wa Bloomberg atapewa jina lake au la Bloomberg?
Hajajibu hilo swali. 😁
Haya ajitokeze mtu, akamuoe Sasha Obama, wazae mtoto amuite Obama. Hata Obama mwenyewe atakataa. 😁

Kwa hiyo hoja/wazo kwamba mwanamke haendelezi familia/ukoo ipo fact, japo feminists wanaikataa.
Kila mtu ana kwao,na kwao ni kiumeni.
Kwanza kabisa kuna watu wanapewa majina ya mama zao, hizo jamii zinaitwa matrilinear.

Pia kuna jamii zinatumia majina yote ya baba na mama. Wattu wa tamaduni za Kihispania mara nyingi wanatumia majina yote ya baba na mama.

Ulikuwa hujui hili?
 
Kupiga nje na kupata mtoto wa kiume kuna mahusiano gani??
Pili maisha ya ulimwengu huu sio kama zamani, mtoto wa kike siku hizi ni investment na value materially tu kama mtoto wa kiume.Wanarithi mali, wanaendesha familia, wanasimamia biashara, wanakua viongozi wakubwa.Thus they can take care of you vizuri tu kama hiyo ndo hofu yako.
Mtoto wa kike akiandaliwa vizuri, ukamuingiza kwenye mfumo wako aka-adapt, hata akiolewa she will be there and atawasaidieni vizuri tu.Tuwaandae tu na kuwawezesha.
Huoni Aliko Dangote pale, watoto wote wa kike, na ndo wanaendesha biashara zake, unafikiri hata wakiolewa wataenda mbali, wataendelea kuwa na baba yao for ever.
 
Sasa hapo si uajiri tuu mtu wa kukuchinjia kuku na mlinzi, ila wabongo bana, kwahiyo wewe ndio sababu zako za msingi hizo, sasa nikwambie hao wasichana unaowazarau ndio mali
Hajadharau wasichana au wanawake. Yeye anazungumzia kupata mrithi wa majina yake na mali kama zitapatikana au anazo.

Tuache kudanganyana kuwa watoto wa kike ndio tunaotaka au tamani kuwaachia vile tutakavyokua tumevipata.

Kwa upande wangu kama nitabalikiwa kuwa na mali za kuwaachia wanangu, sitaziacha kwa mtoto mmoja bali nitaweka usimamizi mzuri na wanangu watarithi kwa mtindo wa share. Itakua kama taasisi bila kujali jinsia na nitaweka mipango mizuri ya kuziendeleza mali hizo pamoja na kuzikuza ili wanangu wagawane faida. Haya ndio matamanio yangu
 
Wakati unasema hivyo kuna wengine wanaomba wapate hata huyo wa kike mmoja.Pia hizi issue za mtoto wa kike sjui wa kiume tunazo sisi waafrika wenzetu walishavuka huko.Familia ya kifalme ya uingereza baba yake malkia Elizabeth alikuwa na watoto wa wawili wa kike na haikus shida.Muda mwingine unaweza ukasema upate huyo unayemtaka ukamzika utalia tena shukuru kwa ulicho nacho Muombe Mungu atakupatia kwa wakati wake
 
Hajadharau wasichana au wanawake. Yeye anazungumzia kupata mrithi wa majina yake na mali kama zitapatikana au anazo.

Tuache kudanganyana kuwa watoto wa kike ndio tunaotaka au tamani kuwaachia vile tutakavyokua tumevipata.
Kupata mtoto wa kiume ili arithi jina la ukoo ni ujinga, upumbavu na ujima.

Tuzungumzie kuhusu mali,
Kuna tatizo gani mtoto wa kike akirithi mali? Wewe kwa nini unaona shida kumrithisha mtoto wako wa kike uliyemleta duniani nusu ekari ya shamba na kibanda cha vyumba vitatu?
Unafahamu kuna watu wanarithisha watoto wa kike mabilioni$ ya utajiri wao achilia mbali ardhi ya kulima mchicha na kijumba tu?
 
Nafahamu.
Uelewa wangu ni kwamba, pamoja na jamii hizo kufuata mila za umamani bado leadership roles are still be filled by men.
Nipo tayari kusahihishwa.
Unahamisha goli sasa.

Leadership role kuwa filled by men maana yake nini?

Is there an immutable law of physics saying that? Au ni mambo ya kukariri tu utamaduni?

Nyumba yenye baba mjinga ambaye somehow kaishia na mama mwenye akili utataka leadership role ifanywe na mwanamme na familia iangamie?

Unaelewa hata hizo familia nyingi mnazofikiri leadership role inafanywa na wanaume, wanaume wanapangiwa mambo mengi tu kwa kujua au kutokujua?

Kwa nini leadership role iwe gender based and not joint?

Hivi ndivyo mnataka democracy katika nchi wakati katika familia tu mshaweka gender based roles za uongozi?
 
Kupiga nje na kupata mtoto wa kiume kuna mahusiano gani??
Pili maisha ya ulimwengu huu sio kama zamani, mtoto wa kike siku hizi ni investment na value materially tu kama mtoto wa kiume.Wanarithi mali, wanaendesha familia, wanasimamia biashara, wanakua viongozi wakubwa.Thus they can take care of you vizuri tu kama hiyo ndo hofu yako.
Mtoto wa kike akiandaliwa vizuri, ukamuingiza kwenye mfumo wako aka-adapt, hata akiolewa she will be there and atawasaidieni vizuri tu.Tuwaandae tu na kuwawezesha.
Huoni Aliko Dangote pale, watoto wote wa kike, na ndo wanaendesha biashara zake, unafikiri hata wakiolewa wataenda mbali, wataendelea kuwa na baba yao for ever.
Watu wanapenda sana kukariri ujinga mkuu.

Na ujinga mwingi unakaririwa chini ya mwamvuli wa utamaduni.

Bila kujua kukariri utamaduni li logical fallacy, argument from tradition.

Wanakuwa kama yule kuku ambaye amefungwa kamba kwa muda mrefu, sasa hata ukimfungulia kamna, kwa sababu kashazoea kukaa palepale alipokuwa kafungwa kamba, anashindwa kuzunguka pengine kwa uhuru.

Anakuwa kama bado kafungwa kamba wakati hakuna kamba ikiyomfunga, ana kamba mawazoni mwake tu.
 
Kupata mtoto wa kiume ili arithi jina la ukoo ni ujinga, upumbavu na ujima.

Tuzungumzie kuhusu mali,
Kuna tatizo gani mtoto wa kike akirithi mali? Wewe kwa nini unaona shida kumrithisha mtoto wako wa kike uliyemleta duniani nusu ekari ya shamba na kibanda cha vyumba vitatu?
Unafahamu kuna watu wanarithisha watoto wa kike mabilioni$ ya utajiri wao achilia mbali ardhi ya kulima mchicha na kijumba tu?

Tajiri, mtoto wa kike kumpa mali ni kuzipoteza mali hizo kwenda kwenye kizazi kingine ambacho sio chako kwa damu "Bloodline". Lengo la mali, utawala na ufahari ni kuendelea kuwepo kwenye Bloodline na wawepo watu wa kuendeleza hiyo Bloodline.
Mbona wewe hujarithi mali kwa Dewji?
Kwanini wewe hujawa mtoto wa Bakhresa?

Mtoto wa kike hawezi leta "succession plan" ya kizazi yaani "Bloodline", hii inakwenda mbali pia mpaka kwenye uendelezaji wa mali za familia.

Kumpa mali mtoto wa kike ni kuhamisha utajiri toka kwa Shirima kwenda kwa Mosha unnecessarily.

Kuhusu matajiri: Hakuna watu wajanja kwenye kurithisha mali na huhakikisha utajiri wao unakuwepo hata baada ya wao kufa kama matajiri, soma mirathi na estates nyingi za matajiri, utakuta humo mali inagawika 20% nyingine inaendelezwa kwenye biashara, charity au subsidiaries.

Nakazia; Mali akipewa mwanamke inakuwa ineshapotea kwenye "Bloodline" inakwenda kwenye "Bloodline" nyingine. Inahama automatically kwenda kwingine anakoenda kuolewa au kuzalia.
 
Nani alisema lengo la mali, utawala na ufahari ni kuendelea kuwepo kwenye bloodline??
 
Tajiri, Aliko Dangote kaasili mtoto wa kiume baada ya kumkosa! Amemkosa mtoto wa kiume imebidi afanye "adoption" kwa lengo hilo hilo la "succession plan". Dangote anahofia kupoteza mali, au kuhamisha mali.
Sasa kwa nini mleta uzi asi adopt tu mtoto wa kiume wa kuchinja kuku na kulinda familia yake akiwa safarini??
 
Kupata mtoto wa kiume ili arithi jina la ukoo ni ujinga, upumbavu na ujima.

Tuzungumzie kuhusu mali,
Kuna tatizo gani mtoto wa kike akirithi mali? Wewe kwa nini unaona shida kumrithisha mtoto wako wa kike uliyemleta duniani nusu ekari ya shamba na kibanda cha vyumba vitatu?
Unafahamu kuna watu wanarithisha watoto wa kike mabilioni$ ya utajiri wao achilia mbali ardhi ya kulima mchicha na kijumba tu?
Matusi kwa mtu unayetofautiana mtazamo sio njia sahihi ya kujenga hoja.

Kila mtu ana mtazamo wake kutokana na jamii tulizopo. Kumbuka, hata kama dunia ni kama kijiji lakini jamii zetu haziwezi kuwa sawa.

Kwa jamii niliyopo watoto wa kike hawana msaada kwenye familia walizotoka zaidi ya kuwa wabinafsi na kuwapigania watoto wao. Tofauti na wanaume ambao naona wanasupport wenzao
 
Waone madaktari bingwa kimsing mama anayai tu na X moja mbegu unatoa wew baba ya kike au kiume uchaguz ni wako mzee
 
Back
Top Bottom