Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Mbona mm sehemu yakujisali inagoma jamani. Nifanyeje kwasababu nimeingiza namba ya nida inaniambia unauthorized user. Nimejarib pia kuingiza email lakini Hola. Sijui naanzia wapiHaaa sio iyo tu ata kwa Science wanakuletea Bachelor of Science with Education Chemistry na Biology tu kwa Udsm
Oya mm hata kuanza tu kujisajili kwenye mfumo inaniandikia unauthorized user. Msaada tafadhari namna ya kujisajiliWakuu msikate tamaa. MUNGU amenisaidia kukamilisha application by saa 17:04 jioni ya Leo.,Naamini atawasaidia hata ninyi kwa kuwa ninyi ni watu WAKE kama tu mtamtegemea kuwasaidia katika application hizi. Mimi ninatumia simu kufanya application bcoz it is less expensive, i.e MB hazitumiki Sana, nikitumia pc GB moja inaisha faster sana.
Changamoto nimeziona zinazojitokeza kwenu(mlizopost) nami nimepitia changamoto kama hizo; cha msingi endelea ku-refresh (reload) page husika mara kwa mara ukiona imeload mda mrefu saaaana kupita kawaida au kama hairespondView attachment 2196900
Sent using Jamii Forums mobile app
PDF ya original na copy hakuna tofautiWUNGWANA NAOMBA KUULIZA VIPI CHETI CHA KUZALIWA WANACHOTAKA KIWE UPLOADED PALE MWANZONI TUNAWEKA pdf YA CHETI ORIGINAL AU COPY?... NA VIPI NA CHENYEWE KINATAKIWA KUWA CERTIFIED?
Ni kurudia rudia tu mpaka ikubaliOya mm hata kuanza tu kujisajili kwenye mfumo inaniandikia unauthorized user. Msaada tafadhari namna ya kujisajili
Kivipi nawewe. Ushaambiwa inaniandikia unauthorized userNi kurudia rudia tu mpaka ikubali
Nimemsajilia dada yangu vizuri tu na jina lake limetoka kama jinsi alivyojisajili kwenye kitambulisho cha nida ila sasa kwenye jinsi inasoma mwanaume kuna tatizo ikisoma mwanaume badala ya mwanamke aliyepata hiyo changamoto anijuze.Mpya kabisaa leo
Unarudia ku log in hata mara 100Kivipi nawewe. Ushaambiwa inaniandikia unauthorized user
KabisaaaaKama hujui kitu bora ukae kimya tu.
Mkuu endelea kujaza taarifa zako hapo chini, kwa kuanzia na Barua Pepe, Nywila na kuendelea. Hapo ulipozungushia mstari ni heading tu ya kukujuza uko page gani.Hii sehemu ya kutengeneza account mbona Hai clickiki??????????? Loooooh.!!. Au mpaka nitumie pc View attachment 2196932
C umewekewa chini apo option za kutengeneza account [emoji16][emoji16] walimu bwana kweli wanafunzi wataelewa hapoHii sehemu ya kutengeneza account mbona Hai clickiki??????????? Loooooh.!!. Au mpaka nitumie pc View attachment 2196932
Usibonyeze hapo! Jaza vipengele hivyo, barua pepe, nywila NK, password iwe at least na special case mfano Kakayake2020!Hii sehemu ya kutengeneza account mbona Hai clickiki??????????? Loooooh.!!. Au mpaka nitumie pc View attachment 2196932
Mdau hongera kwa kukamilisha maombi kikubwa kuomba mungu ufanikiwe kupata ajira hilo ndio la msingi naomba unicheki hewani kuna jambo nataka kushare na wewe kidogo mzee namba zangu ni 0655669079Wakuu msikate tamaa. MUNGU amenisaidia kukamilisha application by saa 17:04 jioni ya Leo.,Naamini atawasaidia hata ninyi kwa kuwa ninyi ni watu WAKE kama tu mtamtegemea kuwasaidia katika application hizi. Mimi ninatumia simu kufanya application bcoz it is less expensive, i.e MB hazitumiki Sana, nikitumia pc GB moja inaisha faster sana.
Changamoto nimeziona zinazojitokeza kwenu(mlizopost) nami nimepitia changamoto kama hizo; cha msingi endelea ku-refresh (reload) page husika mara kwa mara ukiona imeload mda mrefu saaaana kupita kawaida au kama hairespondView attachment 2196900
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado neno "jisajili" halipoKama unatumia chrome, kuna vile vinukta vitatu ukibofya hapo nenda kaweke tick kwenye desktop site, chrome yako itafunguka na kuwa na muonekano wa computer.