Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Haaa sio iyo tu ata kwa Science wanakuletea Bachelor of Science with Education Chemistry na Biology tu kwa Udsm
Mbona mm sehemu yakujisali inagoma jamani. Nifanyeje kwasababu nimeingiza namba ya nida inaniambia unauthorized user. Nimejarib pia kuingiza email lakini Hola. Sijui naanzia wapi
Screenshot_20220422-212454.jpg
 
Wakuu msikate tamaa. MUNGU amenisaidia kukamilisha application by saa 17:04 jioni ya Leo.,Naamini atawasaidia hata ninyi kwa kuwa ninyi ni watu WAKE kama tu mtamtegemea kuwasaidia katika application hizi. Mimi ninatumia simu kufanya application bcoz it is less expensive, i.e MB hazitumiki Sana, nikitumia pc GB moja inaisha faster sana.

Changamoto nimeziona zinazojitokeza kwenu(mlizopost) nami nimepitia changamoto kama hizo; cha msingi endelea ku-refresh (reload) page husika mara kwa mara ukiona imeload mda mrefu saaaana kupita kawaida au kama hairespond
Screenshot_20220422-170448_Chrome.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu?Binafsi sijakamilisha Bado kwa sababu ya ile sehemu ya kuambatanisha nyaraka za chuo!Nauliza tu endapo pdf zangu hazijafika 2MB inaweza ikaniletea shida ya kukosa sifa ya kuchaguliwa?(Kwa kuwa mafaili yote niliyotuma mpaka Sasa Ni chini ya 2 MB)!Ni hayo tu wadau
 
MSAADA TUTANI JINSI YA KUTAFUTA CHUO HAPAA. MANA NIKIANDIKA CHUO CHANGU SIONI IKITAFUTA
 
Wakuu msikate tamaa. MUNGU amenisaidia kukamilisha application by saa 17:04 jioni ya Leo.,Naamini atawasaidia hata ninyi kwa kuwa ninyi ni watu WAKE kama tu mtamtegemea kuwasaidia katika application hizi. Mimi ninatumia simu kufanya application bcoz it is less expensive, i.e MB hazitumiki Sana, nikitumia pc GB moja inaisha faster sana.

Changamoto nimeziona zinazojitokeza kwenu(mlizopost) nami nimepitia changamoto kama hizo; cha msingi endelea ku-refresh (reload) page husika mara kwa mara ukiona imeload mda mrefu saaaana kupita kawaida au kama hairespondView attachment 2196900

Sent using Jamii Forums mobile app
Oya mm hata kuanza tu kujisajili kwenye mfumo inaniandikia unauthorized user. Msaada tafadhari namna ya kujisajili
 
WUNGWANA NAOMBA KUULIZA VIPI CHETI CHA KUZALIWA WANACHOTAKA KIWE UPLOADED PALE MWANZONI TUNAWEKA pdf YA CHETI ORIGINAL AU COPY?... NA VIPI NA CHENYEWE KINATAKIWA KUWA CERTIFIED?
PDF ya original na copy hakuna tofauti
 
Mpya kabisaa leo
Nimemsajilia dada yangu vizuri tu na jina lake limetoka kama jinsi alivyojisajili kwenye kitambulisho cha nida ila sasa kwenye jinsi inasoma mwanaume kuna tatizo ikisoma mwanaume badala ya mwanamke aliyepata hiyo changamoto anijuze.
 
Wakuu msikate tamaa. MUNGU amenisaidia kukamilisha application by saa 17:04 jioni ya Leo.,Naamini atawasaidia hata ninyi kwa kuwa ninyi ni watu WAKE kama tu mtamtegemea kuwasaidia katika application hizi. Mimi ninatumia simu kufanya application bcoz it is less expensive, i.e MB hazitumiki Sana, nikitumia pc GB moja inaisha faster sana.

Changamoto nimeziona zinazojitokeza kwenu(mlizopost) nami nimepitia changamoto kama hizo; cha msingi endelea ku-refresh (reload) page husika mara kwa mara ukiona imeload mda mrefu saaaana kupita kawaida au kama hairespondView attachment 2196900

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdau hongera kwa kukamilisha maombi kikubwa kuomba mungu ufanikiwe kupata ajira hilo ndio la msingi naomba unicheki hewani kuna jambo nataka kushare na wewe kidogo mzee namba zangu ni 0655669079
 
Back
Top Bottom