X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,400
- 14,339
- Thread starter
-
- #601
isije ikawa unaandika mwaka huu 2022 ambao wenyewe bado awajaruhusu kuomba...ila ebu jaribu kuifunga kabisa hiyo browser kisha uilog in tena...Wakuu niko namfanyia mtu application kwa kada ya afya ila nimefika kwenye kipengele cha ( year completed ) nikijaza mwaka aliomaliza chuo inaniandikia undefined
View attachment 2201033
Shukran sana mkuu...bonyeza hivyo vi nukta vitatu hapo kwenye browser unayotumia...kisha bofya desktop
tulio kamilisha hatua zote mikono juuuView attachment 2201036
Sawa mkuu ngoja nifanye nitaleta mrejesho..isije ikawa unaandika mwaka huu 2022 ambao wenyewe bado awajaruhusu kuomba...ila ebu jaribu kuifunga kabisa hiyo browser kisha uilog in tena...
Shukrani kwa ushauriunachotakiwa kufanya ni kuiandika hiyo couse bila kuikosea...baada ya kuiandika rudi kafute sehemu ya chuo...kisha kichague tena...baada ya hapo kafute herufi za mwisho za course...hope itatokea sehemu ya kuichagua hiyo course
umemaliza mwaka gani...? je chuo na sehemu nyingine za kujaza unazijaza kikamilifu....?Shukrani kwa ushauri
Lakin naona imegoma yan tabuu
2019umemaliza mwaka gani...? je chuo na sehemu nyingine za kujaza unazijaza kikamilifu....?
Yeeer sehemu zote najaza kikamilifu yaniumemaliza mwaka gani...? je chuo na sehemu nyingine za kujaza unazijaza kikamilifu....?
ulifanikiwa....enhShukran sana mkuu...
tarehe 4 mwezi ujaoHongera,deadline lin hiv?
jaribu kuandika mwaka wa chini yakeYeeer sehemu zote najaza kikamilifu yani
Poapoa mkuujaribu kuandika mwaka wa chini yake
unatumia kifaa gani...? kuingilia kwenye internet...?Prince Mhando aisee naona tatizo la kuandika mwaka wa kumaliza( undefined ) bado linaendelea ...huyu ninamfanyia application yeye kamaliza afya 2018.
.
Bro mm sijasomea elimu wala afya, tangu mwanzo nmesema kuna mtu nilikuwa namfanyia maombi, nyie endeleeni kupambania kombe ila mwisho wa siku kila kitu kinajionyesha ukishamaliza maombi unaona kabisa wenzako ulioomba naoKwan we upo tamisem, acha uhuni
Usiandike mwaka, andika hv S-0000-000Prince Mhando aisee naona tatizo la kuandika mwaka wa kumaliza( undefined ) bado linaendelea ...huyu ninamfanyia application yeye kamaliza afya 2018.
.
Siri zako binafsi ni hizo documents tuu, hizo shule sio siri zako ndio maana kuna watu wameomba nafasi[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Sio roho mbaya mkuu lazima ujifunze kulinda siri zako binafsi
Soma TANGAZO la ajira lote kwa utulivu na umakini wa hali ya juu kila kitu kipo wazi kabisa. Mwenye digree anaomba sekondari tu sio shule ya msingiKuna mtu namfanyia application amesoma bachelor of education special needs. Kwenye barua ameomba ualimu wa shule ya msingi, lakini kwenye kuchagua vituo vya kazi wamemletea shule za sekondari pamoja na sekondari. Na ameweka kwa kuchanganya shule za msingi na sekondari je hapo kuna shida?
Je kama sifa ulizonazo zipo kotekote primary na sekondari. Unaweza kuomba kotekote?