Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

unachotakiwa kufanya ni kuiandika hiyo couse bila kuikosea...baada ya kuiandika rudi kafute sehemu ya chuo...kisha kichague tena...baada ya hapo kafute herufi za mwisho za course...hope itatokea sehemu ya kuichagua hiyo course
Shukrani kwa ushauri
Lakin naona imegoma yan tabuu
 
Inaonekana ivhi vyuo vya grade A wamefuta hii course ya certificate in primary education
Mana karibu vyuo vyote vya teaching unakutana na Basic technician in primary education
 
Kuna mtu namfanyia application amesoma bachelor of education special needs. Kwenye barua ameomba ualimu wa shule ya msingi, lakini kwenye kuchagua vituo vya kazi wamemletea shule za sekondari pamoja na sekondari. Na ameweka kwa kuchanganya shule za msingi na sekondari je hapo kuna shida?

Je kama sifa ulizonazo zipo kotekote primary na sekondari. Unaweza kuomba kotekote?
 
Kwan we upo tamisem, acha uhuni
Bro mm sijasomea elimu wala afya, tangu mwanzo nmesema kuna mtu nilikuwa namfanyia maombi, nyie endeleeni kupambania kombe ila mwisho wa siku kila kitu kinajionyesha ukishamaliza maombi unaona kabisa wenzako ulioomba nao
 
Kuna mtu namfanyia application amesoma bachelor of education special needs. Kwenye barua ameomba ualimu wa shule ya msingi, lakini kwenye kuchagua vituo vya kazi wamemletea shule za sekondari pamoja na sekondari. Na ameweka kwa kuchanganya shule za msingi na sekondari je hapo kuna shida?

Je kama sifa ulizonazo zipo kotekote primary na sekondari. Unaweza kuomba kotekote?
Soma TANGAZO la ajira lote kwa utulivu na umakini wa hali ya juu kila kitu kipo wazi kabisa. Mwenye digree anaomba sekondari tu sio shule ya msingi
 
Back
Top Bottom