Waliosoma elimu maalumu wanaweza kuomba primary. Wameandika kwenye sifa za wanaoomba shule ya msingi kipengele cha tano.Soma TANGAZO la ajira lote kwa utulivu na umakini wa hali ya juu kila kitu kipo wazi kabisa. Mwenye digree anaomba sekondari tu sio shule ya msingi
jitahidi usome Tangazo na kulielewa ndugu yangu...kwa kukusaidia ngoja nikuwekee hilo TangazoKuna mtu namfanyia application amesoma bachelor of education special needs. Kwenye barua ameomba ualimu wa shule ya msingi, lakini kwenye kuchagua vituo vya kazi wamemletea shule za sekondari pamoja na sekondari. Na ameweka kwa kuchanganya shule za msingi na sekondari je hapo kuna shida?
Je kama sifa ulizonazo zipo kotekote primary na sekondari. Unaweza kuomba kotekote?
Tangazo nimelisoma na nimelielewa. Issue yng ipo kwenye roman fiveView attachment 2201164jitahidi usome Tangazo na kulielewa ndugu yangu...kwa kukusaidia ngoja nikuwekee hilo Tangazo
bustani teachers collegeJaman msaada wa chuo chochote chenye course iloandikwa 'certificate in primary education'
Shukranibustani teachers college
Unamaanisha niandike ikiniletea option ya (year completed ) S-2018-000 tafadhari nipe muongozoUsiandike mwaka, andika hv S-0000-000
Ndio ilikubaliiulifanikiwa....enh
Sehemu ya mwaka n tofauti na sehemu ya namba ya shuleUnamaanisha niandike ikiniletea option ya (year completed ) S-2018-000 tafadhari nipe muongozo
Imemletea hizo kozi kwa kuwa kwa sifa yake anapaswa afundishe Sekondari,aombe kozi za Sekondari tuKuna mtu namfanyia application amesoma bachelor of education special needs. Kwenye barua ameomba ualimu wa shule ya msingi, lakini kwenye kuchagua vituo vya kazi wamemletea shule za sekondari pamoja na sekondari. Na ameweka kwa kuchanganya shule za msingi na sekondari je hapo kuna shida?
Je kama sifa ulizonazo zipo kotekote primary na sekondari. Unaweza kuomba kotekote?
ππ Haya mambo ni kama una-bet, waalimu wanatakiwa 9600+ na tayari wameomba 69000+Asee MUNGU akatende ndugu zangu
View attachment 2201215
View attachment 2201217
View attachment 2201219
Sehemu ya mwaka n tofauti na sehemu ya namba ya shule
Simuunatumia kifaa gani...? kuingilia kwenye internet...?
Umeambiwa kama haipo basi uhitaji wake haupo piajamani mbona course ya bachelor of science with education (chemistry na math) haipo, au kuna mtu amefanikiwa kujaza.
Halafu anatokea mjinga mmoja anamtetea marehemu kuwa alikuwa ni mtu wa wanyonge....ππ Haya mambo ni kama una-bet, waalimu wanatakiwa 9600+ na tayari wameomba 69000+
simu ni nzuri ipo faster ila mpaka uijulie sana ....tafuta computer ndugu yangu isije ikakufelisha bureSimu
Halafu anatokea mjinga mmoja anamtetea marehemu kuwa alikuwa ni mtu wa wanyonge....
kwamba hakuna uhitaji wa walimu wa physics na hesabu?Umeambiwa kama haipo basi uhitaji wake haupo pia