Pacbig
JF-Expert Member
- Oct 15, 2017
- 1,095
- 2,087
Waliosoma elimu maalumu wanaweza kuomba primary. Wameandika kwenye sifa za wanaoomba shule ya msingi kipengele cha tano.Soma TANGAZO la ajira lote kwa utulivu na umakini wa hali ya juu kila kitu kipo wazi kabisa. Mwenye digree anaomba sekondari tu sio shule ya msingi