Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Soma TANGAZO la ajira lote kwa utulivu na umakini wa hali ya juu kila kitu kipo wazi kabisa. Mwenye digree anaomba sekondari tu sio shule ya msingi
Waliosoma elimu maalumu wanaweza kuomba primary. Wameandika kwenye sifa za wanaoomba shule ya msingi kipengele cha tano.
 
Kuna mtu namfanyia application amesoma bachelor of education special needs. Kwenye barua ameomba ualimu wa shule ya msingi, lakini kwenye kuchagua vituo vya kazi wamemletea shule za sekondari pamoja na sekondari. Na ameweka kwa kuchanganya shule za msingi na sekondari je hapo kuna shida?

Je kama sifa ulizonazo zipo kotekote primary na sekondari. Unaweza kuomba kotekote?
jitahidi usome Tangazo na kulielewa ndugu yangu...kwa kukusaidia ngoja nikuwekee hilo Tangazo
 
Attachments

Kuna mtu namfanyia application amesoma bachelor of education special needs. Kwenye barua ameomba ualimu wa shule ya msingi, lakini kwenye kuchagua vituo vya kazi wamemletea shule za sekondari pamoja na sekondari. Na ameweka kwa kuchanganya shule za msingi na sekondari je hapo kuna shida?

Je kama sifa ulizonazo zipo kotekote primary na sekondari. Unaweza kuomba kotekote?
Imemletea hizo kozi kwa kuwa kwa sifa yake anapaswa afundishe Sekondari,aombe kozi za Sekondari tu
 
Kwa ufafanuzi huu,Wenzangu Wa ualimu grade A twendeni tukatafute vibarua vingine vya kufanya. Nadhani hii ndio sababu ya kibox cha kozi uliyosoma kutokufunguka.
 
Hivi mazee ukimaliza kuomba no zote zikawa 100% na system ikasema maombi yako yametumwaa Tamisemi ...vip nikitaka kubadili inawezekanaa .?? Kwa mfano mie nimeambatanisha barua ya maombi na Cv je nikitaka kutoa natoa?? Au maombi yakitumwaa hayabadiliki??
 
Back
Top Bottom