kila chaguo unaweka na barua yake ya maombi...
Na mimi nina changamoto hapa alafu mimi kwangu inagoma kuongeza machaguo hasa ninapofika kusave haifanyi chochote
Mkuu upo Kigongoni,Majengo,Magadini,Jangwani au Mtoni MjiniWe jamaa umejitahidi Sana kutoa msaada hapa kila SAA upo online nakuombea kwa mungu upate ajira[emoji122]
Na mimi nilijua hivyo kwamba barua inakua moja tu pale kwenye barua ya maombiNini...!!
Kama ni ualimu itakuwa barua moja, pia kama ni afya itakuwa barua moja.
Machaguo yatakuwa zaidi ya moja(Shule kadhaa au Vituo vya Afya kadhaa)
UMESOMA CHUO GANI...?Afya
Mkuu kwa Waalimu barua ni moja tu kwa machaguo matano cjui wa afya huko,kuna sehemu ya kuweka barua itakuwa huajaweka barua maana kila chaguo unaweka na barua yake ya maombi...
BARUA unaweza kuandika moja ndio ila kwenye kila shule utakayo ichagua kuna sehemu ya kuweka baruaMkuu kwa Waalimu barua ni moja tu kwa machaguo matano cjui wa afya huko,
Asante.
Mkuu kwa Waalimu barua ni moja tu kwa machaguo matano cjui wa afya huko,
Asante.
Ni kweli ila mi nimechagua kwanza shule (5) baadae nikaattach barua moja tu nikasave.View attachment 2202057angalia atachment hiyo...hivyo hapo bila kuaattach barua huwezi kusave
Kwa afya hamna hiyo option nimefuta machaguo nikaweka upya Sasa hivi yanaonekanaView attachment 2202057angalia atachment hiyo...hivyo hapo bila kuaattach barua huwezi kusave
Screenshot uweke hapa tuoneKwa afya hamna hiyo option nimefuta machaguo nikaweka upya Sasa hivi yanaonekana
ππ Uko serious mkuu.?kuna sehemu ya kuweka barua itakuwa huajaweka barua maana kila chaguo unaweka na barua yake ya maombi...
NIDANGANYE ILI NIPATE NINI...? kwa umri wangu niliokuwa nao huwa sizungumzi kitu nisicho kijua ndugu yanguππ Uko serious mkuu.?
Wadau mwenye mawasiliano ya nacte anisaidie
Upo sahihi kabisa mkuu,tatizo kuna watu wao ni kupinga tu hata kwa kitu ambacho hawana uhakika nacho.NIDANGANYE ILI NIPATE NINI...? kwa umri wangu niliokuwa nao huwa sizungumzi kitu nisicho kijua ndugu yanguView attachment 2202161
Nasemea hapo kwenye kuweka barua kwenye kila shule uliyochaguaNIDANGANYE ILI NIPATE NINI...? kwa umri wangu niliokuwa nao huwa sizungumzi kitu nisicho kijua ndugu yanguView attachment 2202161
Umemaliza mwaka gani na chuo ganiNdg zanguni ety ukilipia transcript ya matokeo inachukua mda gan kutoka ? Mi yakwangu Leo zimetimia siku 10
Kwahyo mkuu vp ambaye amechagua kwanza shule zote 5 kisha ndo akaweka hiyo barua moja tu kwa shule zote?NIDANGANYE ILI NIPATE NINI...? kwa umri wangu niliokuwa nao huwa sizungumzi kitu nisicho kijua ndugu yanguView attachment 2202161