Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

kila chaguo unaweka na barua yake ya maombi...

Nini...!!

Kama ni ualimu itakuwa barua moja, pia kama ni afya itakuwa barua moja.

Machaguo yatakuwa zaidi ya moja(Shule kadhaa au Vituo vya Afya kadhaa)
 
Na mimi nina changamoto hapa alafu mimi kwangu inagoma kuongeza machaguo hasa ninapofika kusave haifanyi chochote

Ukifanya chaguo la kwanza usikimbilie kuhifadhi (ku-save) bali ongeza (add) hapo kwenye alama ya kujumlisha (+).

Ongeza machaguo hapo hadi idadi ya mwisho, sijui ni ngapi…. ukitosheka ndo shuka chini ukahifadhi (save).
 
Mkuu kwa Waalimu barua ni moja tu kwa machaguo matano cjui wa afya huko,
Asante.
barua ya maombi.JPG
angalia atachment hiyo...hivyo hapo bila kuaattach barua huwezi kusave
 
Back
Top Bottom