Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Thanks for clarification
 
Jamani shule nilizoomba naona idadi inazidi kuwa kubwa. Mwenye ujanja wakujua shule za ndanindani vichakani huko tuambizane nifute machaguo
Hahahaha dah Mkuu Mimi kwa physics day 1 kwenye machaguo ya shule ilikua hivi 1,1,1,1,1 sasahivi nikiangalia machaguo ya shule ni 5,2,2,2,5
 
Jamani shule nilizoomba naona idadi inazidi kuwa kubwa. Mwenye ujanja wakujua shule za ndanindani vichakani huko tuambizane nifute machaguo
πŸ˜‚πŸ˜‚ Jamaa ulituvimbia hapa ety uko pekee yako na screenshot ukaficha shule πŸ˜‚πŸ˜‚ na nikakuambia subiri ifike deadline ndo useme uko pekee yako, haya sasa umejua hujui 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…