Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

kwa computer ndio rahisi....
utabonyeza hapo kama picha inavyoonyesha...
View attachment 2203239


ukishabonyeza hapo itafunguka....kama kiambata kitakavyoonyesha hapo chini...kisha utabonyeza hiyo alama iliyozungushiwa duaraView attachment 2203243
utabadilisha taarifa zako kama unavyo taka kisha unasave...View attachment 2203246
au....unaingia
kwa kubonyeza kama picha inavyoonyeshaView attachment 2203249
harafu unaondoa hiyo taarifa kwa kubonyeza sehemu ya ondoa...baada ya hapo unaweka taarifa zako upyaView attachment 2203252
ukishindwa niambie haraka iwezekanavyo...ila usisahau kuwa hayo yote yanawezekana kwa urahisi ukitumia computer...kwenye simu sina uhakika

Thanks for clarification
 
Jamani shule nilizoomba naona idadi inazidi kuwa kubwa. Mwenye ujanja wakujua shule za ndanindani vichakani huko tuambizane nifute machaguo
Hahahaha dah Mkuu Mimi kwa physics day 1 kwenye machaguo ya shule ilikua hivi 1,1,1,1,1 sasahivi nikiangalia machaguo ya shule ni 5,2,2,2,5
 
Jamani shule nilizoomba naona idadi inazidi kuwa kubwa. Mwenye ujanja wakujua shule za ndanindani vichakani huko tuambizane nifute machaguo
😂😂 Jamaa ulituvimbia hapa ety uko pekee yako na screenshot ukaficha shule 😂😂 na nikakuambia subiri ifike deadline ndo useme uko pekee yako, haya sasa umejua hujui 😁😁
 
Back
Top Bottom