Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Hapo kwenye kujisajili Kila nikitumia email/ namba ya NIDA inanigomea
inaleta notification gani...nahisi unakwama kwenye pasword tu pasword inatakiwa iwe na mchanganyiko wa alama, herufi kubwa, herufi ndogo na namba.... mfano MArco@123
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…