mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 978
- 1,766
kaka samahani,nimekuquote kwa sababu nakuamini,naomba nisadidie maswali yafuatayo. 1.je tunaambatanisha barua ya kujitolea? na kama yes, barua inawekwa wapi 2.tunatumia copy za vyeti vyenye muhuri wa mwanasheria au vyet og? Nimeuliza hayo kwa sababu simu yangu haina uwezo,nijibu ili nijue naenda na nn mjini kutuma.mimi imenigomea...kuattach vyeti vya chuo....
Hapo kwenye namba ya usaili ni namba ya chuo ile au.?Kuna hiki kipengele nimekiwekea mshale. Hakikubali kuendelea.
View attachment 2196532
Ubaya wake ni kuwa bila kukikamilisha huwezi kuendelea mbele ku upload vyeti. sasa sina hakika kama ni mimi tu au kila mtu akijaribu anakwama hapo kama mimi
Haifungukiinaleta notification gani...nahisi unakwama kwenye pasword tu pasword inatakiwa iwe na mchanganyiko wa alama, herufi kubwa, herufi ndogo na namba.... mfano MArco@123
na hiyo ulifungua saa ngapi...?Kuna hiki kipengele nimekiwekea mshale. Hakikubali kuendelea.
View attachment 2196532
Ubaya wake ni kuwa bila kukikamilisha huwezi kuendelea mbele ku upload vyeti. sasa sina hakika kama ni mimi tu au kila mtu akijaribu anakwama hapo kama mimi
Saa sabana hiyo ulifungua saa ngapi...?
Registration number, kwa kiswahili ndio Namba ya UsajiliHapo kwenye namba ya usaili ni namba ya chuo ile au.?
Weka best certificateKwa mwenye vyeti viwili vya form four utaratibu unakuwaje
Mi sijafika hukoMkuu kipengele cha select course kimeafanya vizuri
Naona mfumo bado haujawa kamili, kuselect course na mkoa/halmashauri bado ziko inactive...Wale wa afya, kipengele cha kuselect course mnfanyaje, kwangu ni mtihani.
Na ndo maana kama ulianza kuingia kwenye toka juzi utagundua kuna changes kubwa sana zinatokea kila baada ya muda fulani.Okey apa nimeelew
weka vyote naona kuna option ya kuongeza pale ukirudi tena unaongezeaKwa mwenye vyeti viwili vya form four utaratibu unakuwaje
Cheti cha kwanza kina C C chet cha pili kina C, na kama unavyojua kwenda form six lzm uwe na CCCWeka best certificate
WEKA VYOTE VIWILI....Cheti cha kwanza kina C C chet cha pili kina C, na kama unavyojua kwenda form six lzm uwe na CCC
Unaweka vote original na ulicho risitiKwa mwenye vyeti viwili vya form four utaratibu unakuwaje