Mnaoona masomo yenu hakuna ,harafu mnachagua masomo yeyote eti kisa unajua kuyafundisha mnajitengenezea matatizo huko mbele ,kwanini usisubili SoMo lako waliweke ?...
Huko mbele mtakuja kukaguliwa na Kuna watu watawakataa kuwa sio walimu ,au watawakataa kuwa masomo uliyosomea chuo na uliyoomba ni tofauti ....Sasa wewe kurupuka huku kwenye system ukifikili tayari ushamaliza ....
Kuna vijana kibao wamefika kwa mkurugenz na kukataliwa baada ya kuaangalia maombi yao na taaaluma zao ,walidanganya mfumo .....