Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Mnaoona masomo yenu hakuna ,harafu mnachagua masomo yeyote eti kisa unajua kuyafundisha mnajitengenezea matatizo huko mbele ,kwanini usisubili SoMo lako waliweke ?...

Huko mbele mtakuja kukaguliwa na Kuna watu watawakataa kuwa sio walimu ,au watawakataa kuwa masomo uliyosomea chuo na uliyoomba ni tofauti ....Sasa wewe kurupuka huku kwenye system ukifikili tayari ushamaliza ....

Kuna vijana kibao wamefika kwa mkurugenz na kukataliwa baada ya kuaangalia maombi yao na taaaluma zao ,walidanganya mfumo .....
Hapa tatizo linakuwa wao Tamisemi kushindwa kuwakataa kwa kulinganisha masomo ya kwenye transcript na masomo waliyoomba
 
Ukimaliza kufungua account. Sehemu ya kujaza personal details kama mkoa unaoishi, elimu yako. Kwenye simu yangu ukibofya mfumo hauketi options shida ni nini?

Natumia browser ya mozilla firefox.
person details zinajijaza zenyewe...ukiweka namba yako ya nida tu
 
ina prove namba za chuo na shule ulizo zijaza...vyeti ni uthibitisho tu...ila kikubwa ni zile namba

Mkuu acha uongo ,system haiwezi kudetect scan documents,unawekuaaply masomo ya science mfn physics na chemistry na kwenye vyet umesoma art na mfumo ukakubali kabisa ....!

Usiwe mbishi watu washafanya hivyo
 
ukifoji system inatambua...ndio maana taarifa za nida zikipishana kidogo tu na cheti inakua haikutambui...hivyo ukifoji kwenye system hii mtu anajisumbua tu....
Taarifa za Nida zinatakiwa zinafanane na cheti cha kuzaliwa?

Kuna dogo langu hapa alipata Nida(akiwa Shuleni) kabla ya cheti cha kuzaliwa(amekipata/kukishughulikia) baada ya kumaliza shule, ninahofia kuwa zinaweza kupishana maana nipo kwenye hatua ya mwanzo kujaza hizo taarifa za NIDA
 
Mkuu acha uongo ,system haiwezi kudetect scan documents,unawekuaaply masomo ya science mfn physics na chemistry na kwenye vyet umesoma art na mfumo ukakubali kabisa ....!

Usiwe mbishi watu washafanya hivyo
sawa...sawa...kijana...
 
Taarifa za Nida zinatakiwa zinafanane na cheti cha kuzaliwa?

Kuna dogo langu hapa alipata Nida(akiwa Shuleni) kabla ya cheti cha kuzaliwa(amekipata/kukishughulikia) baada ya kumaliza shule, ninahofia kuwa zinaweza kupishana maana nipo kwenye hatua ya mwanzo kujaza hizo taarifa za NIDA
ajaze nida kisha atizame details....zake kama zinafanana na cheti ama lah....
 
Mnaoona masomo yenu hakuna ,harafu mnachagua masomo yeyote eti kisa unajua kuyafundisha mnajitengenezea matatizo huko mbele ,kwanini usisubili SoMo lako waliweke ?...

Huko mbele mtakuja kukaguliwa na Kuna watu watawakataa kuwa sio walimu ,au watawakataa kuwa masomo uliyosomea chuo na uliyoomba ni tofauti ....Sasa wewe kurupuka huku kwenye system ukifikili tayari ushamaliza ....

Kuna vijana kibao wamefika kwa mkurugenz na kukataliwa baada ya kuaangalia maombi yao na taaaluma zao ,walidanganya mfumo .....

Vipi kama halitawekwa??? Utaacha ku apply kwa inshu ya somo moja...unaweza kulijaza tu ili uendeee na process nyingine lakin kwenye machaguo ya shule ukaomba ulilosomea machaguo yote...kama wataongeza masomo tutabadilisha ila kama hawatayajaza lazima ujiongee
 
Ukimaliza kufungua account. Sehemu ya kujaza personal details kama mkoa unaoishi, elimu yako. Kwenye simu yangu ukibofya mfumo hauketi options shida ni nini?

Natumia browser ya mozilla firefox.
Tumia pc, acha mambo yako.
 
Mbona nikitaka ku preview vyeti vyangu nilivyo attach inakataa??
Screenshot_20220423-152158.jpg
 
Yaani nilichogundua watu hawasomi ht tangazo vzr, maana Kila kitu Kiko wazi.
harafu kuna mtu huko juu eti anabisha...system hii iko poua sana...nilijaribu kujaza taarifa za uongo kwa kutumia namba ya mtu aliefeli kidato cha nne haikukubari kabisa...the same kwenye kidato cha sita pia niliweka kumbukumbu za mtu aliefeli pia iligoma...
 
Jamni msada kwa mtu wa certificate in primary education
NTA level...tunajaza nni
 
ajaze nida kisha atizame details....zake kama zinafanana na cheti ama lah....
Kijiji cha kwenye Cheti cha Kuzaliwa na cha NIDA viko tofauti, ila nishavuka hiki kipengele cha taarifa za NIDA baada ya kujibu maswali mengine kwa usahihi.

Sasa namba ya mtihani(form 4 na 6) zinaandikwa kwa style ipi? S0000.0001 au S0000/0001 ?
 
Andika kma ilivyoandikwa kwenye cheti husika
 
Back
Top Bottom