VeroEretico
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 512
- 398
CertificateYeye ni diploma au degree?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CertificateYeye ni diploma au degree?
Ipo fresh mbn mi nimekamilisha mda huuHii system vp jamani au usiku haifanyi kazi
Hapo kwenye secondary education mbona inazingua mkuu,kwako imeenda fresh?Ipo fresh mbn mi nimekamilisha mda huu
Mimi mwenyewe nimekwamia kwenye course select ukiandika course haidisplay ujaze year of completed shida ni nini wakuuHapo kwenye secondary education mbona inazingua mkuu,kwako imeenda fresh?
Mkuu naomba msaada namna ya kuandika namva ya mtiani hapo .na je ni lazma form 4 au hata ya six?...msaada pleaseMnaoutaka kupiga kazi alfajiri hii fanyeni chap mfumo ni kuteleza tu..lakin me bado nimekwama kwenye swala la kuchagua vituo vya kazi upande wa afya pamoja na mfumo kuteleza lakin waap...View attachment 2199642
Adsnte mkuuWeka namba kwa mfumo wa S0777-00006 kama unavyoiona imeandikwa kwenye chet
Anza na ya 4m4 kwanza ukisev weka na six kama unavyo vyote
Mimi pia wananiandikia hvyohvyo.....watu wamelala asee ..dah!
Ukishaweka cha diploma au degre kikawa uploaded successfully kuna option ya "ongeza" kwenye Taarifa za elimu ya chuo unaweka hicho kiwango chako cha elimu kingine.Ivi kama ulisoma diploma kisha degree cheti cha diploma unakiweka