Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We nawe mbona akili kama huna, unatuma detail zako humu kila mtu aone mpaka namba yako ya cheti [emoji22]Ukishaweka cha diploma au degre kikawa uploaded successfully kuna option ya "ongeza" kwenye Taarifa za elimu ya chuo unaweka hicho kiwango chako cha elimu kingine.
Rejea kielelezo hapa chini.View attachment 2199648
kwani ukiiona utapeleka wapiWe nawe mbona akili kama huna, unatuma detail zako humu kila mtu aone mpaka namba yako ya cheti [emoji22]
Address yao nayotakiwa kuandika kwenye barua n ipi wakuu.?Ukishaweka cha diploma au degre kikawa uploaded successfully kuna option ya "ongeza" kwenye Taarifa za elimu ya chuo unaweka hicho kiwango chako cha elimu kingine.
Rejea kielelezo hapa chini.View attachment 2199648
Hongera zako, wengine wa course ya Bachelor of education in arts haionekani sijui ndo haitakuwepo kabisa.Ukishaweka cha diploma au degre kikawa uploaded successfully kuna option ya "ongeza" kwenye Taarifa za elimu ya chuo unaweka hicho kiwango chako cha elimu kingine.
Rejea kielelezo hapa chini.View attachment 2199648
utatapeliwa....haihitajiki kuverify vyeti...system yenye inaverify...Inspektaaaaaaa.humu hujibu simu hupokeiii...duh!!!
punguza speed...maisha hayajawa rahisi kiasi hichoKama bado hujacertfy vyeti vyako fanya haraka uje tukusaidie, Usikubali kutuma maombi yako bila kudhibitisha vyeti vyako kwa mwanasheria.Wasiliana Nasi sasa 0769925004
pia tunahuduma y'all scanning na photocopying
kama wameliruka maana yake wanaamini huwezi kufoji....na wamekuandikia kabisa kuwa taarifa za kughushi inaweza kukupelekea kushitakiwa...kwahiyo tuma endapo unaamini vyeti vyako ni original...Ufafanuzi kutoka tamisemi 24.04.2022.
Ndugu zangu mnao aply nashaur msikilize video ya jana ya tamisemi live,you tube,imetoa ufafanuzi wa maswali ambayo mengine bado mnauliza huku..na namba za kupiga walielekeza.
Binafs swali waliruka kujibu ni la aina ya vyeti tunavyotumia,kama ni Certified copies au Origino.Nataman mwenye aliyethibitishiwa ajibu.
Kwa kusaidia jamii, em tupe summary ya walichoongeaUfafanuzi kutoka tamisemi 24.04.2022.
Ndugu zangu mnao aply nashaur msikilize video ya jana ya tamisemi live,you tube,imetoa ufafanuzi wa maswali ambayo mengine bado mnauliza huku..na namba za kupiga walielekeza.
Binafs swali waliruka kujibu ni la aina ya vyeti tunavyotumia,kama ni Certified copies au Origino.Nataman mwenye aliyethibitishiwa ajibu.
Ni lazima kuandika zote za Form 4 na Form 6, namba ya mtihani inaadikwa kama ilivyoandikwa kwenye Chet husika mfano hapo inatakiwa iwe S0076-0032Kaka....mkowap? Pia naomba msaada hapo kwenye taharfa za sekondary ni lazima kuandika ya form4 au hata six? Na je namna ya kuandka namba ya mtihan inakuwaje? Nimeandk kwa mfumo huu imekataa s0076/0032. Msaada wako
KATIBU MKUU,Address yao nayotakiwa kuandika kwenye barua n ipi wakuu.?
Hii ni ya mwaka jana ,ya mwaka huu arejee barua ya ajira ina adres mpya.KATIBU MKUU,
OFISI YA RAISI-TAMISEMI,
MJI WA SERIKALI-MTUMBA
S.L.P 1923,
DODOMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo mengi hayana jibu.tunatuma vyeti rigino au copy?kama wameliruka maana yake wanaamini huwezi kufoji....na wamekuandikia kabisa kuwa taarifa za kughushi inaweza kukupelekea kushitakiwa...kwahiyo tuma endapo unaamini vyeti vyako ni original...
KATIBU MKUU,
OFISI YA RAISI-TAMISEMI,
MJI WA SERIKALI-MTUMBA
S.L.P 1923,
DODOMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ndo hy hy ila hapo kwenye Dodoma kuna namba zinakuwepoHii ni ya mwaka jana ,ya mwaka huu arejee barua ya ajira ina adres mpya.
Nisaidieni mimi nikianza kuweka taarifa za elimu naishia mwaka niliomaliza alafu inagoma shida sijui nini nashindwa ku attach vyeti
Nisaidieni mimi nikianza kuweka taarifa za elimu naishia mwaka niliomaliza alafu inagoma shida sijui nini nashindwa ku attach vyeti