Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

IMG-20220425-WA0000.jpg
 
Jamani nisaidien mwenzenu hapa nimekwama, najaribu kujaza taarifa za elimu ya secondary inanifanyia Iv sasa sijui tatizo ni Nini hasa
JPEG_20220425_075337_8735052144016463388.jpg
 
Ukishaweka cha diploma au degre kikawa uploaded successfully kuna option ya "ongeza" kwenye Taarifa za elimu ya chuo unaweka hicho kiwango chako cha elimu kingine.
Rejea kielelezo hapa chini.View attachment 2199648
Hongera zako, wengine wa course ya Bachelor of education in arts haionekani sijui ndo haitakuwepo kabisa.
 
Mbona diploma ya ualimu secondary kwenye course selection ni utata Alie pita hapo atusaidie jamani tumekwama
 
Kama bado hujacertfy vyeti vyako fanya haraka uje tukusaidie, Usikubali kutuma maombi yako bila kudhibitisha vyeti vyako kwa mwanasheria.Wasiliana Nasi sasa 0769925004
pia tunahuduma y'all scanning na photocopying
punguza speed...maisha hayajawa rahisi kiasi hicho
 
Ufafanuzi kutoka tamisemi 24.04.2022.
Ndugu zangu mnao aply nashaur msikilize video ya jana ya tamisemi live,you tube,imetoa ufafanuzi wa maswali ambayo mengine bado mnauliza huku..na namba za kupiga walielekeza.
Binafs swali waliruka kujibu ni la aina ya vyeti tunavyotumia,kama ni Certified copies au Origino.Nataman mwenye aliyethibitishiwa ajibu.
kama wameliruka maana yake wanaamini huwezi kufoji....na wamekuandikia kabisa kuwa taarifa za kughushi inaweza kukupelekea kushitakiwa...kwahiyo tuma endapo unaamini vyeti vyako ni original...
 
Ufafanuzi kutoka tamisemi 24.04.2022.
Ndugu zangu mnao aply nashaur msikilize video ya jana ya tamisemi live,you tube,imetoa ufafanuzi wa maswali ambayo mengine bado mnauliza huku..na namba za kupiga walielekeza.
Binafs swali waliruka kujibu ni la aina ya vyeti tunavyotumia,kama ni Certified copies au Origino.Nataman mwenye aliyethibitishiwa ajibu.
Kwa kusaidia jamii, em tupe summary ya walichoongea
 
Kaka....mkowap? Pia naomba msaada hapo kwenye taharfa za sekondary ni lazima kuandika ya form4 au hata six? Na je namna ya kuandka namba ya mtihan inakuwaje? Nimeandk kwa mfumo huu imekataa s0076/0032. Msaada wako
Ni lazima kuandika zote za Form 4 na Form 6, namba ya mtihani inaadikwa kama ilivyoandikwa kwenye Chet husika mfano hapo inatakiwa iwe S0076-0032

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nisaidieni mimi nikianza kuweka taarifa za elimu naishia mwaka niliomaliza alafu inagoma shida sijui nini nashindwa ku attach vyeti
 
Back
Top Bottom