Mr sule
JF-Expert Member
- Oct 14, 2021
- 606
- 1,110
Poleni kwa majukumu ya kila siku, ni matumaini kila mmoja wenu ni Mzima wa afya tele na Mungu aendelee kubariki uzima huo ili kufikia malengo na majukumu ya kila siku.
Leo nataka ni share nanyi safari ya nilioanzisha na bado inaendelea ya kuwa mfanyabiashara mkubwa.
Kuwa mjasiriamali ni moja ya ndoto zangu kubwa sana, maana ndio passion yangu na nilianza nikiwa na umri wa miaka 9. Miaka hiyo nilianza kuuza bibi na biscuit shuleni.
Now nina Umri wa miaka 28, net worth Tsh 370M and Elimu Darasa la 5
Katika umri wa Miaka ya 24 nilianza safiri ya kufanya biashara baada ya kuacha kwa miaka mingi. kufanya biashara ni kitu napenda sana na sio napenda kwa ushawishi wa pesa ila napenda pesa kwasababu ya kusapport kitu ninachokipenda kiendelee kuwa kikubwa.
Ila katika safiri yangu nilifanya makosa ambayo leo ningependa kushare na wewe huenda ikawa elimu kwako.
Mimi sina elimu ya darasani ya biashara ila nina experience ya kufanya biashara.
BIASHARA YA MKUMBO.
Niliwahi kufanya makosa ya kuiga iga biashara, kila nilipoona biashara inafanya vizuri na mimi nilitaka nifanya bila kuwa na taarifa sahihi ya biashara inaendeshwaje. Hii ilinirudisha sana nyuma maana ilisababisha hasara ya M80 katika kipato changu. biashara hii ya kufanya kuona watu wengine wanafanya, nilikuwa sina taarifa sahihi ya inaendeshwaje au changamoto za ndani. Nilikuwa nimefanya utafiti tu wa kile ninachokiona kwa macho(frond end) na sio business background (back end).
KUANZA BILA MIPANGA.
Kuanzia bila mipanga ni tabia nyingine nilikuwa nayo sana na ilinifelisha sana tena pa kubwa, naweza kuwaza jambo nzuri kwa wakati huo naona sawa na ninaamua kuwekeza pesa, ila mwisho wa siku inanishinda kwenye mfumo wa huendeshaji, Wazo langu linaweza kuwa nzuri sana ila nakuwa sina mipango ya taarifa za huendeshwaji, malengo, mf: ndani ya miezi miwili biashara inatakiwa iweje, ifananaje, ifikie lengo gani, badala yake nilikuwa nafanya tu mradi naona biashara nafanya. lakini biashara ilikuwa inanishinda na kuistop kukosa uongozi maana nilikuwa busy na mambo mengine. biashara bila mipanga ni ngumu hata kwa mfanyakazi maana anashindwa kuelewa malengo yako ni nini, itabidi na yeye afanya tu pale ulipomuelekeza bila kutumia akili yake ya ziada.
MTAJI.
mimi ni muoga wa kuanza pasipo na kitu, napenda niwe nimekamilika kwa 100% ya kuanza. nilipenda kufanya vitu na mambo hayako sawa, hii ni kosa pia ilipoteza hela yangu. maana naweza kufanya mradi fulani na nina 50% ya mradi. naenda kununua vifaa vya 50%, sasa tatizo linakuja kukosa hile 50% ya kumaliza ili mradi uanze kufanya , hivyo napoteza hela kwenye hile 50% ya vifaa vya mwanzo. ni Bora niwaze kitu kulingana na uchumi wangu, kama kuna grow tutaenda taratibu. Mfano: unataka kuanza biashara, una hela tu ya fremu alafu unajipa moyo kwamba nichukue frem kwanza mtaji nitapa tu, hii ni kosa sana ukikosa mtaji jua umepoteza na hela ya fremu.
AINA YA BIASHARA.
Nilipenda sana biashara ya kununua na kuuza, biashara ya aina hii inaitaji mtaji mkubwa na ina gharama za huendeshwaji. nilipenda kuona biashara yangu ni kubwa kwa muonekano, kwaiyo nilikuwa nanunua bidhaa nyingi ili duka lionekani, lakini nilikuwa napata faida ndogo, alafu gharama ni kubwa biashara yenyewe ni pasua kichwa. kuna watu wengine biashara haina mambo mengi lakini faida ni kubwa na hawaumizi kichwa. Nilipenda kukuza biashara kwa ukubwa na sio kwa mapato. Biashara ya kununau kuuza( Ex: products business) ni aina ya bishara sipendelei. ila services business mara nyingi biashara hii sio pasua kichwa na haiendeshwi kwa gharama.
Mf: products business ni Vunja bei na services business ni App ya Nala. Ukiangalia vizuri hata kama vunja bei yuko vizuri now lakini trust me Now Nala ana sehemu kubwa ya kufanya vizuri kuliko vunja bei kwenye maswala ya Income, Expense, market na management. Vunja bei atatumia nguvu kubwa kuendesha na kupata faida ila Nala atakuwa amerelax
NB: Kwaiyo biashara sio size
Hayo ni kwa ufupi katika mengi niliojifunza na changamoto nilizopitia, namshukuru Mungu now am very smart kwenye biashara. nina macho akili na hisia ya kuona maendeleo ya biashara now na future kwa kuangalia huendeshwaji wa biashara. Idea nzuri na mbaya, Biashara hipi ya muda mfupi na muda mrefu. biashara gani ni Tishio na hipi itakuja kuwa tishio. biashara gani yenye faida, nk...
Asante.