socket
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 305
- 433
Chief am very appreciate you very much kwa ujasiri wakiandika haya.
Kiukweli vijana wengi tunapenda maendeleo ikiwemo mimi mwenye BSc ya Eng. Am very positive na ninaweza kukubaliana na wewe, ila pengine watu hawakuelewi kwa kuwa biashara nyingi ni pasua kichwa na wengi wanafanya kwa kua angalau wanapata kidogo basi maisha yanaenda.
Mimi nilichoelewa ni kuwa kwa kuwa mtaji ulikuwepo pengine kutokana na wazazi kiwa na uwezo ndio maana umeweza kufikia hapo tofauti na sisi ambao misingi yetu ilikuwa inasikitisha (unaangalia hali ya nyumbani inabd ukabebe zege maisha yaende (very sad)) na ndio maana msingi pekee ilikuwa ni elimu.
Mm naomba usibishane na mtu wewe toa elimu wenye kuamini kama sisi tutachuja mbele kwa mbele kwakuwa hapa hatubishani tunachukua yanayofaa tuu maana wataanza kukuomba mtaji(joke)