kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Changamoto y JF kwa miaka y hv karibuni. Ukija kushea jambo kubwa la namna y kupata pesa lazima wakuzodoe.
Mpk ss naona ni bora kujipigia pesa zako kimya kimya tu.kuna cku mm nilishukiwa km mwewe kwa kifaranga hapa JF.
Toka hapo najipigia silence tu uku mambo yanaenda. Nambaya zaidi wakiona jambo ilo kwa nje utabezwa mnooo. Wakati pesa iko hapo.
Asante