Changamoto zilizokutana nazo katika kuanza safari yangu ya kuwa mfanyabiashara

Ni jambo la ajabu kijana kumwambia una 370M anaona kitu cha ajabu.
ni kawaida ktk ulimwengu tuliopo, hata ktk biashara zako umekutana na changamoto za kuto aminiana/kuto aminika
 
boss Sule mbona una paniki badala ya kuwapa watu darasa...? watu wamevutika/vutiwa na upambanaji wako... wana tamani kujua zaidi ili ikiwezekana waka watoe watoto shule ili wawape mitaji wapige maisha...

Mkuu hapana sijapanik na sina sababu. nimesema tu.
 
93m kwa mwaka?biashara gani hizo??nina biashara 5 za maana ila kwa mwaka sizidi zaidi ya 8m,ebu tuelekeze ni business gani hiyo yenye faida kubwa.jamani sio kila kinachosemwa kinaendana na uhalisia,mitandao ya kijamii imekuwa inawapa vijana stress sana,ebu fikiria umeasoma sana,na income yako kwa siku hata 10000 upati then anatokea mtu anakuambia kaishia darasa la 7 anaingiza 93m.unaweza kuisi umelogwa,jamani sio wote wanaopiga picha kwenye magari mamnzuri ukajua Yao wengine ni location favor tu,tuishi maisha yetu
boss Sule wasaidie watanzania wenzako... wana shida ya kufika ulipo... yawezekana biashara walizo nazo kuna sehemu wana pata changamoto kufikia matunda ya biashara...
 
Utuelezee bas unafanya biashara gani mkuu.Mi kuajiriwa nimechoka nipate mtaji nikomae kiume aisee.Kumbe mafanikio yapo kwenye decision
Maswali yako haya boss Sule...
 
Yako wapi boss
Samahani nilitaka kum-quot boss sule ktk maswali yake toka kwa wadau, maana wame shawishika sana kutaka kujua toka kwake...

sizani kama mtamuomba bank statements kama Boss ontorio wa online business aka kudaunilodi pesa, watz tuna jichelewesha sanaaa jamani
 
Hongera Mkuu. Unajishughulisha na biashara zipi kwa sasa? Unaweza ku-share nasi japo changamoto na fursa zaidi katika biashara zako? Umezungumzia vitu in general, ni jambo jema na tunashukuru. Lakini nadhani ukiongezea ukawa specific kwa biashara unazofanya sasa itakuwa na manufaa zaidi. Natanguliza shukrani.
Mr. Boss Sule haya maswali una yaona lakini? au bado mwenzetu marekani ndio una toka usingizini? au upo kariakoo una funga mzigo upeleke kwenye fursa mpya kinshasa ili mapato yapae yafike 650M...?????
 
boss Sule wasaidie watanzania wenzako... wana shida ya kufika ulipo... yawezekana biashara walizo nazo kuna sehemu wana pata changamoto kufikia matunda ya biashara...

Nimejibu hii mkuu. mtu anaona kabisa nimejibu ila anarudia kuuliza so huwa sirudi maana hii s business nafanya. ukikubali sawa, ukikataa sawa. tunashare ya kwetu ili tujifunze kutoka kwa watu wengine ila sio kubishana.

kuna vitu havikusaidi kitu, kama hvyo unafatilia kitu ambacho hukubaliani nacho.

kama huyo mdau amepost mada zangu, kama hujakubali, tumia muda huo fkiria mambo mengine au tafuta mada zingine.

anashangaa kuwa marekani na kuwa tanzania so unaisi haiwezekani? kwaiyo unataka tubishana, hapana
 
Usiwe kama yule boss wa tiktok
 
Mr. Boss Sule haya maswali una yaona lakini? au bado mwenzetu marekani ndio una toka usingizini? au upo kariakoo una funga mzigo upeleke kwenye fursa mpya kinshasa ili mapato yapae yafike 650M...?????

IMG_3675.png

hii screenshoot hiwe jibu kwako. angalia muda ulioreply, masaa yangu ni saa ngapi, alafu angali mtandao wa simu ninaotumia.

so kama hujakubali soma tu mada zingine itakusaidia
 
Biashara zina mambo mengi, inawezekana ni kweli unachokisema, ila kuna mambo ya giza yanakuwa yamejificha

hapana, biashara si mambo ya kiza, na biashara ya aina hiyo ina maisha ya kufa mapema, maana inategemea mtu mmoja. fanya biashara ukiwa na ndoto yakuwepo miaka yote. biashara hata ukifa itaendelea kuwepo na mtu yeyote anaweza kuendesha biashara yako ikaendelea.

mfano: Apple, Steve alifariki zamani lakini plan zake bado zinaendelea kufanya kazi
 
Nataka niifanye hiyo biashara unayoifanya, naomba abc
 
Kuwa specific tuelekeze ni biashara gani unaingiza 93m kwa mwaka,ndo tatizo letu sisi wabongo hatupeani muongozo
 
Nikiwaza ya mwenzangu nitachelewa kufanya yangu.
SIHOFII KUPITWA ILI MRADI MUDA USINIACHE.
nipo kitandani nakuna mbupu Nina buku ya ugali mfukoni maisha si ndo hayaa.bando lipo la kutosha.
Nipewe Nini tena zaidi ya uhai na uzima?
 
Safi mkuu ishi maisha yako
 
View attachment 2172915
hii screenshoot hiwe jibu kwako. angalia muda ulioreply, masaa yangu ni saa ngapi, alafu angali mtandao wa simu ninaotumia.

so kama hujakubali soma tu mada zingine itakusaidia
naelewa sasa hivi ni watu wana amka na ndio nilicho andika na kuuliza, je upo marekani una amka au upo kkoo una piga biashara...

nashukuru kwa jibu lako la picha... wengine pia wana subiria majibu...
 
93m kwa mwaka?biashara gani hizo??nina biashara 5 za maana ila kwa mwaka sizidi zaidi ya 8m,ebu tuelekeze ni business gani hiyo yenye faida kubwa.jamani sio kila kinachosemwa kinaendana na uhalisia,mitandao ya kijamii imekuwa inawapa vijana stress sana,ebu fikiria umeasoma sana,na income yako kwa siku hata 10000 upati then anatokea mtu anakuambia kaishia darasa la 7 anaingiza 93m.unaweza kuisi umelogwa,jamani sio wote wanaopiga picha kwenye magari mamnzuri ukajua Yao wengine ni location favor tu,tuishi maisha yetu

Ina maana biashara zako kwa wastan zinaingiza chin ya 200k per month ? Na ni biashara za maana?
 
93m kwa mwaka?biashara gani hizo??nina biashara 5 za maana ila kwa mwaka sizidi zaidi ya 8m,ebu tuelekeze ni business gani hiyo yenye faida kubwa.jamani sio kila kinachosemwa kinaendana na uhalisia,mitandao ya kijamii imekuwa inawapa vijana stress sana,ebu fikiria umeasoma sana,na income yako kwa siku hata 10000 upati then anatokea mtu anakuambia kaishia darasa la 7 anaingiza 93m.unaweza kuisi umelogwa,jamani sio wote wanaopiga picha kwenye magari mamnzuri ukajua Yao wengine ni location favor tu,tuishi maisha yetu

Mkuu biashara za maana ushindwe kuingiza hata 30m kwa mwaka!?,sema una magenge tu yakuganga njaa,mimi biashara moja isiponiingizia 1m kwa mwezi bora nikaimbe ccm oyeee!
 
Back
Top Bottom