93m kwa mwaka?biashara gani hizo??nina biashara 5 za maana ila kwa mwaka sizidi zaidi ya 8m,ebu tuelekeze ni business gani hiyo yenye faida kubwa.jamani sio kila kinachosemwa kinaendana na uhalisia,mitandao ya kijamii imekuwa inawapa vijana stress sana,ebu fikiria umeasoma sana,na income yako kwa siku hata 10000 upati then anatokea mtu anakuambia kaishia darasa la 7 anaingiza 93m.unaweza kuisi umelogwa,jamani sio wote wanaopiga picha kwenye magari mamnzuri ukajua Yao wengine ni location favor tu,tuishi maisha yetu