Nasikia wamekaa kikao na Minido kujadili chanjo kukosa watu ...nasikia wanataka kuzipeleka zenji naona wameanza propaganda kwa wazanzibar kuwa chanjo walizo choma azikubaliki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ...zinatakiwa za J&J [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mother geto na michanjo yake kabuma sasa anawapelekea ndugu zake wazenjibarView attachment 1917561
Na hapo zilikuja zikiwa zimekaribia ku-expire!
Wanafanya haraka kuwapelekea wazenji kwa kisingizio cha kuiji maka kumbe wanaogopa aibu ya chanjo kudodaView attachment 1917561
Na hapo zilikuja zikiwa zimekaribia ku-expire!
Huo ni ushahidi mkubwa sana kwa wenye akili ,makada wapo mamilioni chanjo zingeisha ndani ya week 2 tuSitaki kuamini hata wanachama pekee wa CCM wameshindwa kuzimaliza hizo chanjo milioni moja, maana nakumbuka Polepole alikuwa anasema wana wanachama hai zaidi ya milioni nane.
Hapo ndiyo utagundua wanasiasa wa tanzania na wanachama wao ni upuuzi mtupu kwanini mbowe asilazimishe makada wake kuchanjwaPia mwenyekiti wa CHADEMA alisema watu walazimishwe kuchanja inamaana ameshindwa kuwalazimisha makamanda wote wachanjwe?
Jiwe alidondoshwa ndiyo maana ninacheka sana kuwasikia wapinzani wanataka katiba mpya bila ya kujua jiwe alidondokaje maana walio mdondosha wanahofu kuangamizwa wakikosea step hivyo swala la katiba mpya ni ngumu sana kipindi hiki kuliko kipindi cha magufuli huo ndiyo ukweliSema huogopi wew, jiwe mwenyewe ilimdondosha baada ya kuiletea ujuaji
True mbona walio chanjwa wana kufa hata huko ulaya ndiyo maana wanavaa barakoa hata baada ya kuchanjaKama wangelikuwa wanaiogopa corona hivo,watu wangelikimbilia chanjo,pamoja na promotion zote,wamepata watu laki tatu tu,hauoni kuwa watu hawaogopi corona?
Nanda Airport dar watakuambia wafanyakazi wa hapo juzi tumezika mmoja wa jamaa aliyekuwa airport baada ya kuchanjwa hapohapo ila kama mlivyo msikia waziri wa afya kuwa lengo ni kuficha chochote kibaya kuhusu chanjo ,nadhani ulisikiliza ile video iliyo vujaNi kweli khs suala la uhifadhi, lakini kwa ninavyojua mimi sijaona mtu yeyote aliyepata chanjo nikiwemo mimi, ameugua eti kwa sababu ya chanjo [emoji849]
Jibu ni rahisi sana. Watanzania wameielewa serikali yao.Siku moja nilimsikia mheshimiwa sana waziri wangu wa Afya akisema watu wanajitokeza kwa wingi kudungwa kuliko walivyo tarajia, siku nyingine nikamsikia mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu akisema kuwa kinacho muumiza kichwa kwasasa ni wapi watapata chanjo zaidi, maana kwa jinsi hizi za awali zilivyo changamkiwa ni wazi kuwa hazitoshi.
Swali langu ni jepesi tu, endapo watu wanajitokeza kwa kasi hiii, mbona haziishi? Yaani pamoja na kuziandalia siku maalumu pale uwanja wa taifa, pamoja na timu zetu kuhamasisha mashabiki wake, pamoja na vyombo vya habari kuzipa promo, pamoja na viongozi wa Bunge kuhamasisha, pamoja na wasanii kuzitungia nyimbo lakini hazijaisha mpaka leo.
Nini tatizo? Waziri wa Afya na naibu wako mnakwama wapi?
Yaani mbwembwe zote zile zimezima ghafla wakiwa wamepigwa tatu bila...Wamegundua kupigia debe chanjo ni kujipaka nyota ya mavi
Na waliokuwa wanashabikia lockdown na makelele kuwa serikali inachukulia poa suala la corona nao hawajaenda kupigwa sindano... 😂😂😂Yaani mbwembwe zote zile zimezima ghafla wakiwa wamepigwa tatu bila...
Cha ajabu hata wale washika mabango kuwa corona imeua ndugu na jamaa zetu wengi sana (halafu wao wakaachwa, hawajafa) nao wameingia mitini lilipokuja suala la kudungwa JJ😂
Wanafanya haraka kuwapelekea wazenji kwa kisingizio cha kuiji maka kumbe wanaogopa aibu ya chanjo kudoda
Wapeleke huko wakatokomeze kizazi cha yule bibiHalafu wazenji wanafanywa misukule sijui, eti ni J&J tu ndo inaruhusiwa kuhiji…!!
Hapna hatukuisikia tutumie humuNanda Airport dar watakuambia wafanyakazi wa hapo juzi tumezika mmoja wa jamaa aliyekuwa airport baada ya kuchanjwa hapohapo ila kama mlivyo msikia waziri wa afya kuwa lengo ni kuficha chochote kibaya kuhusu chanjo ,nadhani ulisikiliza ile video iliyo vuja
Choma sasa ww tupate majibu toka kwako sio kwa wengine, mm najua watatuNi kweli khs suala la uhifadhi, lakini kwa ninavyojua mimi sijaona mtu yeyote aliyepata chanjo nikiwemo mimi, ameugua eti kwa sababu ya chanjo [emoji849]
Chuoa zinatunzwa kwasababu kubwa mbili.Hadi chupa za chanjo zilizokwisha tumika zinatunzwa we unategemea tutaziamini vip hizo chanjo zingine zinazokuja
Kama hizo chupa zikiwekewa maji????
Mimi ninasimamia huduma hiyo ya chanjo na mpaka sasa tumeshachoma watu zaidinya LAKI 2 na mimi mwenyewe nimechoma JANSSEN.Choma sasa ww tupate majibu toka kwako sio kwa wengine, mm najua watatu
Mmoja bado yuko kitandan week ya tatu hii anaweweseka, wawili walichukua likizo kabisa kwenda kuugulia nyumban na kungojea lolote litakalotokea walipokee na wakashauri nduguq zao kwa hali wanayoisikia wasichomwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie misukule ya Gwajima mshasema hamtochanjwa, Sasa suala la chanjo kutosha au La, mnahoji kivipi!!!Siku moja nilimsikia mheshimiwa sana waziri wangu wa Afya akisema watu wanajitokeza kwa wingi kudungwa kuliko walivyo tarajia, siku nyingine nikamsikia mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu akisema kuwa kinacho muumiza kichwa kwasasa ni wapi watapata chanjo zaidi, maana kwa jinsi hizi za awali zilivyo changamkiwa ni wazi kuwa hazitoshi.
Swali langu ni jepesi tu, endapo watu wanajitokeza kwa kasi hiii, mbona haziishi? Yaani pamoja na kuziandalia siku maalumu pale uwanja wa taifa, pamoja na timu zetu kuhamasisha mashabiki wake, pamoja na vyombo vya habari kuzipa promo, pamoja na viongozi wa Bunge kuhamasisha, pamoja na wasanii kuzitungia nyimbo lakini hazijaisha mpaka leo.
Nini tatizo? Waziri wa Afya na naibu wako mnakwama wapi?
Acha unafiki wewe msukule wa Gwajima,watu tumechanjwa na Wala hakuna madhala yoyote, zaidi utendaji kazi wa baadhi ya mambo umeongezeka mara elfu mwiliniChoma sasa ww tupate majibu toka kwako sio kwa wengine, mm najua watatu
Mmoja bado yuko kitandan week ya tatu hii anaweweseka, wawili walichukua likizo kabisa kwenda kuugulia nyumban na kungojea lolote litakalotokea walipokee na wakashauri nduguq zao kwa hali wanayoisikia wasichomwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe chanjo zinafanya muwe hivi?Acha unafiki wewe msukule wa Gwajima,watu tumechanjwa na Wala hakuna madhala yoyote, zaidi utendaji kazi wa baadhi ya mambo umeongezeka mara elfu mwilini