#COVID19 Chanjo milioni moja hazijaisha tu?

#COVID19 Chanjo milioni moja hazijaisha tu?

View attachment 1917561
Na hapo zilikuja zikiwa zimekaribia ku-expire!
Nasikia wamekaa kikao na Minido kujadili chanjo kukosa watu ...nasikia wanataka kuzipeleka zenji naona wameanza propaganda kwa wazanzibar kuwa chanjo walizo choma azikubaliki [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ...zinatakiwa za J&J [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mother geto na michanjo yake kabuma sasa anawapelekea ndugu zake wazenjibar
Wazenjibar kazi kwenu
 
Sitaki kuamini hata wanachama pekee wa CCM wameshindwa kuzimaliza hizo chanjo milioni moja, maana nakumbuka Polepole alikuwa anasema wana wanachama hai zaidi ya milioni nane.
Huo ni ushahidi mkubwa sana kwa wenye akili ,makada wapo mamilioni chanjo zingeisha ndani ya week 2 tu
 
Pia mwenyekiti wa CHADEMA alisema watu walazimishwe kuchanja inamaana ameshindwa kuwalazimisha makamanda wote wachanjwe?
Hapo ndiyo utagundua wanasiasa wa tanzania na wanachama wao ni upuuzi mtupu kwanini mbowe asilazimishe makada wake kuchanjwa
 
Sema huogopi wew, jiwe mwenyewe ilimdondosha baada ya kuiletea ujuaji
Jiwe alidondoshwa ndiyo maana ninacheka sana kuwasikia wapinzani wanataka katiba mpya bila ya kujua jiwe alidondokaje maana walio mdondosha wanahofu kuangamizwa wakikosea step hivyo swala la katiba mpya ni ngumu sana kipindi hiki kuliko kipindi cha magufuli huo ndiyo ukweli
 
Kama wangelikuwa wanaiogopa corona hivo,watu wangelikimbilia chanjo,pamoja na promotion zote,wamepata watu laki tatu tu,hauoni kuwa watu hawaogopi corona?
True mbona walio chanjwa wana kufa hata huko ulaya ndiyo maana wanavaa barakoa hata baada ya kuchanja
 
Ni kweli khs suala la uhifadhi, lakini kwa ninavyojua mimi sijaona mtu yeyote aliyepata chanjo nikiwemo mimi, ameugua eti kwa sababu ya chanjo [emoji849]
Nanda Airport dar watakuambia wafanyakazi wa hapo juzi tumezika mmoja wa jamaa aliyekuwa airport baada ya kuchanjwa hapohapo ila kama mlivyo msikia waziri wa afya kuwa lengo ni kuficha chochote kibaya kuhusu chanjo ,nadhani ulisikiliza ile video iliyo vuja
 
Siku moja nilimsikia mheshimiwa sana waziri wangu wa Afya akisema watu wanajitokeza kwa wingi kudungwa kuliko walivyo tarajia, siku nyingine nikamsikia mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu akisema kuwa kinacho muumiza kichwa kwasasa ni wapi watapata chanjo zaidi, maana kwa jinsi hizi za awali zilivyo changamkiwa ni wazi kuwa hazitoshi.

Swali langu ni jepesi tu, endapo watu wanajitokeza kwa kasi hiii, mbona haziishi? Yaani pamoja na kuziandalia siku maalumu pale uwanja wa taifa, pamoja na timu zetu kuhamasisha mashabiki wake, pamoja na vyombo vya habari kuzipa promo, pamoja na viongozi wa Bunge kuhamasisha, pamoja na wasanii kuzitungia nyimbo lakini hazijaisha mpaka leo.

Nini tatizo? Waziri wa Afya na naibu wako mnakwama wapi?
Jibu ni rahisi sana. Watanzania wameielewa serikali yao.

Tangia serikali awamu ya 5 ijiingize madarakani, awamu ya kwanza kwa kumpora ushindi Laigwanani Edward Ngoyayi Lowassa, kisha awamu ya pili kuwapuuza watanxania wote milioni 60, uwongo ulifanywa kuwa ukweli na ukweli ukaitwa uongo/uchochezi. Watanzania wameelewa.

Tulipoisikia serikali inakazia jibu ni A, tulikuja kujikuta tumechemka, basi jibu likawa B au C. Sasa wameelewa, ukisikia Chanjo nzuri, elewa chanjo ni feki/mbaya, usihoji zaidi, utajichosha bure. Watanzania wameelewa.

Sina zaidi

Wamegundua kupigia debe chanjo ni kujipaka nyota ya mavi
Yaani mbwembwe zote zile zimezima ghafla wakiwa wamepigwa tatu bila...

Cha ajabu hata wale washika mabango kuwa corona imeua ndugu na jamaa zetu wengi sana (halafu wao wakaachwa, hawajafa) nao wameingia mitini lilipokuja suala la kudungwa JJ😂
 
Na waliokuwa wanashabikia lockdown na makelele kuwa serikali inachukulia poa suala la corona nao hawajaenda kupigwa sindano... 😂😂😂
 
Wanafanya haraka kuwapelekea wazenji kwa kisingizio cha kuiji maka kumbe wanaogopa aibu ya chanjo kudoda

Halafu wazenji wanafanywa misukule sijui, eti ni J&J tu ndo inaruhusiwa kuhiji…!!
 
Nanda Airport dar watakuambia wafanyakazi wa hapo juzi tumezika mmoja wa jamaa aliyekuwa airport baada ya kuchanjwa hapohapo ila kama mlivyo msikia waziri wa afya kuwa lengo ni kuficha chochote kibaya kuhusu chanjo ,nadhani ulisikiliza ile video iliyo vuja
Hapna hatukuisikia tutumie humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli khs suala la uhifadhi, lakini kwa ninavyojua mimi sijaona mtu yeyote aliyepata chanjo nikiwemo mimi, ameugua eti kwa sababu ya chanjo [emoji849]
Choma sasa ww tupate majibu toka kwako sio kwa wengine, mm najua watatu
Mmoja bado yuko kitandan week ya tatu hii anaweweseka, wawili walichukua likizo kabisa kwenda kuugulia nyumban na kungojea lolote litakalotokea walipokee na wakashauri nduguq zao kwa hali wanayoisikia wasichomwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hadi chupa za chanjo zilizokwisha tumika zinatunzwa we unategemea tutaziamini vip hizo chanjo zingine zinazokuja

Kama hizo chupa zikiwekewa maji????
Chuoa zinatunzwa kwasababu kubwa mbili.

1- Kuepusha watu kufyatua chanjo feki

2- Kuepusha janja janja kwa watu ambao hawahitaji kuchoma lakini wanataka documents za kuonesha wamechoma

3- Vile vile ni sehemu ya waste diaposal maana ile ni dawa, siyo ganda la ndizi kwamba unaweza kutupa sehemu yoyote.
 
Choma sasa ww tupate majibu toka kwako sio kwa wengine, mm najua watatu
Mmoja bado yuko kitandan week ya tatu hii anaweweseka, wawili walichukua likizo kabisa kwenda kuugulia nyumban na kungojea lolote litakalotokea walipokee na wakashauri nduguq zao kwa hali wanayoisikia wasichomwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninasimamia huduma hiyo ya chanjo na mpaka sasa tumeshachoma watu zaidinya LAKI 2 na mimi mwenyewe nimechoma JANSSEN.

Hao wanaopata matatizo wamechoma chanjo gani ?

Ika waswahili mnazusha ilimradi tu.

Kwa taarifa yako kwenye program ya chanjonkuna utaratibu wa ufuatiliaji kama mtu atajisikia tofauti ,ila huku kwetu mpaka sasa hakuna tatizo kabisa
 
Siku moja nilimsikia mheshimiwa sana waziri wangu wa Afya akisema watu wanajitokeza kwa wingi kudungwa kuliko walivyo tarajia, siku nyingine nikamsikia mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu akisema kuwa kinacho muumiza kichwa kwasasa ni wapi watapata chanjo zaidi, maana kwa jinsi hizi za awali zilivyo changamkiwa ni wazi kuwa hazitoshi.

Swali langu ni jepesi tu, endapo watu wanajitokeza kwa kasi hiii, mbona haziishi? Yaani pamoja na kuziandalia siku maalumu pale uwanja wa taifa, pamoja na timu zetu kuhamasisha mashabiki wake, pamoja na vyombo vya habari kuzipa promo, pamoja na viongozi wa Bunge kuhamasisha, pamoja na wasanii kuzitungia nyimbo lakini hazijaisha mpaka leo.

Nini tatizo? Waziri wa Afya na naibu wako mnakwama wapi?
Nyie misukule ya Gwajima mshasema hamtochanjwa, Sasa suala la chanjo kutosha au La, mnahoji kivipi!!!
 
Choma sasa ww tupate majibu toka kwako sio kwa wengine, mm najua watatu
Mmoja bado yuko kitandan week ya tatu hii anaweweseka, wawili walichukua likizo kabisa kwenda kuugulia nyumban na kungojea lolote litakalotokea walipokee na wakashauri nduguq zao kwa hali wanayoisikia wasichomwe

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha unafiki wewe msukule wa Gwajima,watu tumechanjwa na Wala hakuna madhala yoyote, zaidi utendaji kazi wa baadhi ya mambo umeongezeka mara elfu mwilini
 
Back
Top Bottom