unataka kuniambia kwamba mwendazake alituongopea kuwa hakukuwa na korona
It's a waste of space same topic, six threadsUnaogopa nini?
Mbowe yupo sahihi ila kwa Tanzania iliyojaa vilaza ataonekana kituko.
Watu wamedanganywa chanjo ni vita ya kiuchumi hivyo wazungu wanataka kutuangamiza.
Makanisani kina Gwajima wanasema chanjo ni alama ya mpinga Kristo 666 hivyo huu ni ujio wa NEW WORLD ORDER.
Uko sahihi, Mbowe ameweka mbele maslahi ya watu wengi, anaamini kwa dhati ili kunusuru uhai wa watu wengi basi wachanjwe
Na Mbowe Mwenyewe kaonyesha mfano kuwa hayuko kimanenomaneno tu yeye keshapokea chanjo tayari
It's a waste of space same topic, six threads
Maudhui hayafanani japo ni same topic.It's a waste of space same topic, six threads
Kama watu wote hawatachanjwa hii chanjo yao itakuwa ni kupoteza muda. Chanzo iwe lazima ili kuokoa maisha ya wengi
Uganda na Rwanda hapana kuendekeza ujinga. Huko wala si ukuda bali utachezea kichapo!
Kumbuka ujinga si tusi. Ni suala la kutokuelewa tu. Ujinga dawa yake ni elimu dunia tu mkuu.
Huku kwetu tutabembelezana kwanza, ila baadaye kutakuwa na vikwazo hapa na pale. Mdogo mdogo tutafika tu.
Hiyo ndiyo sayansi ya chanjo.
Muulize ni nini kinachomfanya aikatae chanjo?
Basi,ni vema mkatulia ninyi ambao hamuitaki.Wenye kuitaka waendelee kuisubiri.Utashi wangu kama wewe unavyopendelea chanjo Mkuu.
Maudhui hayafanani japo ni same topic.
Pale MACHAGA wanavyorukia hoja ya makengeza Mbowe π€£π€£Kama mwuungwana tokea pande za Pwani niliyeukataa ukanjanja katika nyanja zote, nina lazimika kutia neno juu ya maneno ya hekima yake Mwamba Aboubakar Laigwanan Mbowe (Mola amjalie maisha marefu).
Uhalisia kuhusiana na chanjo yoyote ni huu hapa:
"Chanjo ina maana kama tu idadi kubwa na ya kutosha katika jamii inakuwa imeipokea. Vinginevyo inakuwa haina maana."
Kiuhalisia chanjo ni kwa manufaa ya wanayoipokea. Serikali zina wajibu wa kuona watu wake wananufaika chanjo husika.
Kuweza kuwapata idadi kubwa kadri iwezekanavyo mbinu mbali mbali hutumika zikiwamo kutoa elimu, ushawishi na hata kutumia nguvu ikibidi.
Kwa wanaume wa shoka, pande za Rwanda na Uganda, huko hakuna cha lele mama au mswalia mtume. Huko kuchanjwa ni lazima na bakora kumhusu mtu anayeleta ujuaji wala si issue.
Kwingine uthibitisho wa chanjo huhitajika kabla ya kupata huduma kama vile usajili, usafiri, ruhusa nk kama kishawishi. Chanjo inakuwa hiari, lakini ni lazima kabla ya huduma husika.
Kwa jamii zilizostaarabika vilivyo na zenye kujitambua, huko chanjo ni vitu vinavyoeleweka.
Rejelea hali halisi ya kwetu ambapo tokea Apr 2020 hazipo takwimu mpya za Corona. Yaani tokea hapo hakuna mgonjwa wala aliyekufa kwa Corona isipokuwa kaka yake Mbowe.
Katika kipindi hicho pia watu wameaminishwa kuwa huu ugonjwa haupo. Bali Corona ni vita vya kiuchumi na chanjo hizi ni sehemu tu katika kuwaangamiza wao.
Hiiiiii bagosha!
Waliowaaminisha hivyo ni Rais wa nchi akishirikiana na wizara yenye dhamana na afya za watu. Katika walioaminishwa hivyo, wengi wao ni "the ignorant mass" vijijini; wakiwamo sungu sungu, wapiga debe, machinga, vibaka vibaka na wa namna hiyo.
Una ibadili vipi mitizamo ya watu kama hao, huku watu wakiendelea kufa?
Ikumbukwe kuwa hadi sasa serikali yetu haitoi takwimu zozote na hayupo ajuaye hali ni njema au mbaya kiasi gani.
Kwa hakika mwenye kujua faida za chanjo na kuthamimi maisha ya watu hatachelea kutumia nguvu kuwataka watu kuchanjwa ambayo aghalabu ni kwa faida yao.
Ama kwa hakika itakuwa jambo la kushangaza kwa serikali yoyote, kama itakaa kimya iache watu kufa iwapo matumizi ya nguvu tu yangali nusuru maisha dhidi ya ujinga wao.
Viva Museveni na viva Kagame kwa kuyajali maisha ya watu wenu vilivyo kiasi cha kutumia nguvu stahiki inapobidi katika kuwanusuru.
Kwa hakika waja nyie mnayo thwawabu kubwa huko mbinguni, Inshallah!
Asante Mkuu ni kweli najua ni suala la Mda tu chanjo itakua lazima. Tena naamini itakubalika iwe chanjo moja tu.
Ila Mimi Hapana.
Mawazo ya hovyo sana kusema chanjo iwe ya lazima katika hili mbowe amefail kabisa chanjwa wewe na familia yako tu ya watu wengine yaache waamue wenyewe wala halihitaji kampeniKama mwuungwana tokea pande za Pwani niliyeukataa ukanjanja katika nyanja zote, nina lazimika kutia neno juu ya maneno ya hekima yake Mwamba Aboubakar Laigwanan Mbowe (Mola amjalie maisha marefu).
Uhalisia kuhusiana na chanjo yoyote ni huu hapa:
"Chanjo ina maana kama tu idadi kubwa na ya kutosha katika jamii inakuwa imeipokea. Vinginevyo inakuwa haina maana."
Kiuhalisia chanjo ni kwa manufaa ya wanayoipokea. Serikali zina wajibu wa kuona watu wake wananufaika chanjo husika.
Kuweza kuwapata idadi kubwa kadri iwezekanavyo mbinu mbali mbali hutumika zikiwamo kutoa elimu, ushawishi na hata kutumia nguvu ikibidi.
Kwa wanaume wa shoka, pande za Rwanda na Uganda, huko hakuna cha lele mama au mswalia mtume. Huko kuchanjwa ni lazima na bakora kumhusu mtu anayeleta ujuaji wala si issue.
Kwingine uthibitisho wa chanjo huhitajika kabla ya kupata huduma kama vile usajili, usafiri, ruhusa nk kama kishawishi. Chanjo inakuwa hiari, lakini ni lazima kabla ya huduma husika.
Kwa jamii zilizostaarabika vilivyo na zenye kujitambua, huko chanjo ni vitu vinavyoeleweka.
Rejelea hali halisi ya kwetu ambapo tokea Apr 2020 hazipo takwimu mpya za Corona. Yaani tokea hapo hakuna mgonjwa wala aliyekufa kwa Corona isipokuwa kaka yake Mbowe.
Katika kipindi hicho pia watu wameaminishwa kuwa huu ugonjwa haupo. Bali Corona ni vita vya kiuchumi na chanjo hizi ni sehemu tu katika kuwaangamiza wao.
Hiiiiii bagosha!
Waliowaaminisha hivyo ni Rais wa nchi akishirikiana na wizara yenye dhamana na afya za watu. Katika walioaminishwa hivyo, wengi wao ni "the ignorant mass" vijijini; wakiwamo sungu sungu, wapiga debe, machinga, vibaka vibaka na wa namna hiyo.
Una ibadili vipi mitizamo ya watu kama hao, huku watu wakiendelea kufa?
Ikumbukwe kuwa hadi sasa serikali yetu haitoi takwimu zozote na hayupo ajuaye hali ni njema au mbaya kiasi gani.
Kwa hakika mwenye kujua faida za chanjo na kuthamimi maisha ya watu hatachelea kutumia nguvu kuwataka watu kuchanjwa ambayo aghalabu ni kwa faida yao.
Ama kwa hakika itakuwa jambo la kushangaza kwa serikali yoyote, kama itakaa kimya iache watu kufa iwapo matumizi ya nguvu tu yangali nusuru maisha dhidi ya ujinga wao.
Viva Museveni na viva Kagame kwa kuyajali maisha ya watu wenu vilivyo kiasi cha kutumia nguvu stahiki inapobidi katika kuwanusuru.
Kwa hakika waja nyie mnayo thwawabu kubwa huko mbinguni, Inshallah!
Mimi ni Mzanaki zungumza kizanaki nikuelewe. Usiruke ruke kama umepakwa pili pili huko chuma.Yego Masika. Wasiba Mo?
Uliuona utambulisho mwanzoni lakini?
!! πππππππ !!
Hii siyo zile ngoma mlizozowea kule Ukara zisizokesha.
Hiiiiii bagosha!
Mawazo ya hovyo sana kusema chanjo iwe ya lazima katika hili mbowe amefail kabisa chanjwa wewe na familia yako tu ya watu wengine yaache waamue wenyewe wala halihitaji kampeni