Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #81
Nawaambia watu kama nyie uwezekano wa kufika mwaka kesho ni mdogo sana, Korona inawaita naa itawapata tu. Lakini kwanza itawapa fundisho, halafu ndio itawapiga. Hamna tofauti na huyu jamaa wa Burundi aliyekuwa anafanya mzaha na Korona, akafa yeye, mama yake na mkewe. Nyie fanyeni utani na Korona.Anataka tuumie wote πππ, si unajua kifo cha wengi hakiumi πππ, keshachanja huyo πππ
Sikio la kufa.....mtu wa kufa....Zilikuwa za majaribio?
Hivi mpaka leo kuna hajaumwa Corona kweli? Miaka 100 mimi nadunda, we kachanje ugande damu nduguNawaambia watu kama nyie uwezekano wa kufika mwaka kesho ni mdogo sana, Korona inawaita naa itawapata tu. Lakini kwanza itawapa fundisho, halafu ndio itawapiga. Hamna tofauti na huyu jamaa wa Burundi aliyekuwa anafanya mzaha na Korona, akafa yeye, mama yake na mkewe. Nyie fanyeni utani na Korona.
Jibu hoja , usikimbilie huruma ya misemo, zilikuwa za majaribio?Sikio la kufa.....mtu wa kufa....
Ndio naogopa, kwa sababu nafurahia maisha vyuma havijakaza kwangu. Kuna watu mmefulia hadi mnaona kufa kwa Korona ni suluhisho
Itupate mara ngapi inakuja unapiga chafya unadunda.....shida labda kwa nyie mnaoishi kwa matumaini nendeni mkadungwe tuNawaambia watu kama nyie uwezekano wa kufika mwaka kesho ni mdogo sana, Korona inawaita naa itawapata tu. Lakini kwanza itawapa fundisho, halafu ndio itawapiga. Hamna tofauti na huyu jamaa wa Burundi aliyekuwa anafanya mzaha na Korona, akafa yeye, mama yake na mkewe. Nyie fanyeni utani na Korona.
Acha upumbavu wewe. Sayansi gani hiyo. Watu wanachanjwa full na wanakufa wewe unaleta siasa zako za kidikteta hapa?Si katika kila jambo tunapaswa kuishi kwa imani. Mengine yanahitaji ukweli wa kisayansi.
Huyu mwenzako alikuwa na hela na akachanjaNawaambia watu kama nyie uwezekano wa kufika mwaka kesho ni mdogo sana, Korona inawaita naa itawapata tu. Lakini kwanza itawapa fundisho, halafu ndio itawapiga. Hamna tofauti na huyu jamaa wa Burundi aliyekuwa anafanya mzaha na Korona, akafa yeye, mama yake na mkewe. Nyie fanyeni utani na Korona.
Hivi unajua watu wangapi wamekufa kwa reaction anesthesia, sindano za malaria, X-pane, na antibiotics nyingine? Kwa hiyo hazifai?Huyu mwenzako alikuwa na hela na akachanja
Mwisho wake pia alikufa. Sasa wewe hata jina unatumia feki halafu unaleta mikwara mbuzi
Endelea kujidanganya!
Sawa dokta mangungu. Naheshimu sana wataalam, wetu.Hivi unajua watu wangapi wamekufa kwa reaction anesthesia, sindano za malaria, X-pane, na antibiotics nyingine? Kwa hiyo hazifai?
Kwa taarifa yako, karibu kwa kila dawa, kila watu 10000 wanaozitumia, 5 hufa kutokana na reaction.
Haya mambo ni makubwa sana kwako kuelewa, waachie watu wenye elimu zao. Ndio maana kuna tofauti kati ya hoja za mtu msomi na ubishi wa mtu wa kijiweni.
TayariKachanjeni na familia zenu
Tayari toka AprilWewe si uende kuchanjwa?
Jipigie makofiTayari
TayariJipigie makofi
Kawabusu TalibanTayari
TayariKawabusu Taliban
Kapitiwe kwa mpalangeTayari
TayariKapitiwe kwa mpalange