Chanjo ya COVID-19: Hivi wataalam hamjui ukweli au mmeamua kumpotosha Rais?

Kwani umelazimishwa mjomba mbona povu linakutoka, sigara imeandikwa hatari kwa afya yako na bado inauzwa na watu wanavuta si hiari yao sasa wewe povu la nini, hutaki acha sisi tunaotaka acha damu zigande 😅😅😅
Kamwambie Mama samia ambaye badala ya kuwaletea tu chanjo na kuja kuwadunga, yeye anataka kuchagua ipi salama wakati chanjo ni hiari tu.
 
unadhani kuna mtu yuko tayari!!!

wee waache wabongo tu,Mungu ndio anawajua vizuri.

kinachofata ni kulazimishana,zitadoda maabara nakwambia.subiri uone.
Mimi najiuliza hivi hawa wanaotaka chanjo humu ndio hawa hawa watu tuliyonao huku mitaani au hawa wengine? Hizo barakoa tu kuvaliwa huku mitaani ni issue halafu ndio watake kuchanjwa hawa watu?
 
Zozote tutachoma tu kama wewe hutaki hama nchi ila chanjo lazima zije utake usitake, mambo ya kupangiana afya zetu iliisha 17 March
nashangaa corona iko nchini ila chanjo umeshindwa kuifata nje ya nchi,vipi huogopi kufa!!!
 
Una uhakika au evidence ya unachoongea?
 
mkuu hakuna aliyekuwekea bastola mdomoni ili uchanjwe.Chanjp ikija waache wenzako wajichannje wewe jifukize
 
Wewe ni Dr. Wa masuala gani? Isije ikawa ni mataga alielishwa tango na mwendazake
Huyu anayeita chembe sahani za damu (platelets) kuwa chembe nyeupe za damu (white blood cells) ni Daktari pori kutoka Kolomije. Hakuna kitu hapo.
 
Mkuu

Hatuna watalaamu walio tayari kusimamia ukweli na kujitoa mhanga hata wakitishiwa maisha au kufukuzwa kazi wanapelekeshwa na wanasiasa ambao huwa ndio chanzo cha maangamizi ya binadamu. Kuna unafiki uliotopea miongoni mwao wakitenda kumfurahisha mwenye bakuli la chakula na huduma muhimu kwa ajili yao
 
unadhani kuna mtu yuko tayari!!!

wee waache wabongo tu,Mungu ndio anawajua vizuri.

kinachofata ni kulazimishana,zitadoda maabara nakwambia.subiri uone.
Mimi niko tayari, usifanye conclusion kwa niaba ya wote
 
Huyu anayeita chembe sahani za damu (platelets) kuwa chembe nyeupe za damu (white blood cells) ni Daktari pori kutoka Kolomije. Hakuna kitu hapo.
Nimekwambia mimi ni mtaalamu wa kutohoa maneno ya kiingereza kwenda kiswahili au unataka kujipima na biology yako ya fomu foo.
 
mkuu hakuna aliyekuwekea bastola mdomoni ili uchanjwe.Chanjp ikija waache wenzako wajichannje wewe jifukize
Wewe utafanya kipi, usiwasemee wengine....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…