Tetesi: Chanjo za Corona zimetua nchini rasmi

Chanjo haina tatizo lolote
 
Leo Rais amepokea mpango kazi wa kamati ambapo imeshauri njia mbalimbali zitakazosaidia serikali kushawishi wadau mbalimbali kusaidia upatikanaji wa chanjo chini ya wizara ya afya.

So acha kukurupuka.
 
Times change. Kuna mambo yako kwenye uwezo wetu na mengine yako juu yetu. Sisi waamini tunayaweka yote mikononi mwa Mwenyezi Mungu
 
Wanafichaje wakati umeambatanisha na barua rasmi? Ebu nieleweshe..
 
Sabaya ameshalala muda huu!!! Sisi bado tunachat!!! Ndo maisha yalivyo!!
 
Afya ni mali yangu.....

Mimi na wenzangu kadhaa niliowashawishi kwa HOJA tunajiandaa Serikali ikianza KUTOA HIZO CHANJO tuwe wa mwanzomwanzo KUCHANJWA na PICHA TUPIGWE tuzirushe humu ndani....

#KaziIendelee
 
Mpaka 2025, karibu wote tutakuwa tumepelekwa MACHINJIONI. Maana saa hizi tunatekeleza yale wanayotaka tutekeleze na si tunayoyataka sisi.
 
Kwaio ulitaka nchi isimame kisa Sabayo? tusubiri yake yaishe ndio tusonge mbele? Kweli waafrika wanachojua ni kucheza ngoma tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…