Kwahiyo wewe kuweka simulizi za kisayansi ambazo hazina scientific evidence ndo uhuru wa akili huo!
Acha maneno mengi... nimekuambia weka scientific finding iliyotolewa na hicho kitabu unachosema!! In short, umeshindwa kwa sababu reference yako ni simulizi tu!!
Wewe ndo hujaelewa...
Polio inasababishwa na polio virus kama ilivyo kwa covid-19 inayosababishwa na coronavirus!! Huyu polio virus yupo pale kabla haijagunduliwa chanjo la polio!!
Lakini ingawaje polio virus anayesababisha polio is still there, sometimes mtu unaweza kupata polio baada ya kutumia chanjo ya polio, kwa sababu chanjo zingine hutengenezwa na virus, na ndivyo ilivyo kwa chanjo ya polio!!
Hata hivyo, polio unayoweza kupata kutokana na kupata chanjo ya polio ni rare, lakini wewe unataka kuaminisha watu kwamba:-
Hiyo ni exaggeration
Kwahiyo kile kitabu ulichotumia kama reference ya ku-support hoja yako ni kitabu kilichoandikwa na Mwafrika sio?!
Au nimekuwa mtumwa wa fikra baada ya kukuumbua?!
Ulikusudia kudanganya watu kwamba HIV imetokana na chanjo ya polio, na reference uliyotumia ni kitabu kisicho na any scientific evidence, na Wanasayansi wenyewe wameyatupa kapuni madai ya kitabu husika!
Ulikusaidia kudanganya watu kwamba chanjo ya polio ndo imeleta polio Afrika wakati ukweli ni kwamba polio ipo hata kabla ya kuwepo chanjo ya polio!!!
Yaani unaruka ruka huku na kule, kwa kusema uongo ili mradi tu ujaribu kutetea hoja zako zisizo na ushahidi wa kisayansi... yaani unazitetea kisa tu:-