#COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?
gwaj-boy akitetea hoja yake kupitia kwa kijana msabato.

utasikia hiyo ndo cha ya mpinga kristo 666...!!!
 
Kijana wakisabayo na wewe nyotee ni wapumbavuu, moda muwe mnafuta hivi takataka mapema ksbla hazi jaxa servers za JF
 
gwaj-boy akitetea hoja yake kupitia kwa kijana msabato.

utasikia hiyo ndo cha ya mpinga kristo 666...!!!
Akili ñusu hujaziwa kwa darasa,saidieni wadau kuwajazia wale zilizo nusu wache kutusumbua
 
Yaani unaletewa tu michanjo unadunga watu tena Mrna vaccine

Na niseme kuna nguvu kubwa ya kuanza kuwanyamazisha wapinga chanjo imeanza

Tusikubali kuchomwa hayo machanjo ya misaada ni sumu na zina madhara

Washasema watapunguza watu bilioni 3 duniani na wataanza na Africa

Leo naongea kiconsipiracy theory tu[emoji1787][emoji1787]maana hamuelewi
 
Hii clip imenifanya niachane na wazo la kuchanjwa tumekwisha[emoji1313][emoji1313]
ili za kuambiwa changanya na za kwako sijasemwa usichanjwe lakini usichanjwe kitu usichokijua....hii clip imenimaliza maini yote kwa huu ushahidi kuna atakayepinga?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]
 
Hii clip imenifanya niachane na wazo la kuchanjwa tumekwisha[emoji1313][emoji1313]
ili za kuambiwa changanya na za kwako sijasemwa usichanjwe lakini usichanjwe kitu usichokijua....hii clip imenimaliza maini yote kwa huu ushahidi kuna atakayepinga?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1875501
Sawa
 
Hakuna sehemu chanjo imetajwa kwenye hiyo video yako.

Anayeongea hajulikani ni nani, hata wewe unaweza ongea hivyo ukaweka video

Kama wazungu wangetaka kutuua wangeshafanya hivyo siku nyingi na sio kusubiri Corona vaccine
 
Chanjo ni hiari jombi usiende kuchanjwa ila usituamrie wala kutuletea hadithi:

Pambaneni na hali zenu.
 
Hii clip imenifanya niachane na wazo la kuchanjwa tumekwisha[emoji1313][emoji1313]
ili za kuambiwa changanya na za kwako sijasemwa usichanjwe lakini usichanjwe kitu usichokijua....hii clip imenimaliza maini yote kwa huu ushahidi kuna atakayepinga?[emoji1313][emoji1313][emoji1313]View attachment 1875501

Kwenye hizo 3b si haumo? Acha sisi tuwamo. Uwashwe washwe nini basi?

  • Nzuri
Reactions: BAK
Hakuna sehemu chanjo imetajwa kwenye hiyo video yako.

Anayeongea hajulikani ni nani, hata wewe unaweza ongea hivyo ukaweka video

Kama wazungu wangetaka kutuua wangeshafanya hivyo siku nyingi na sio kusubiri Corona vaccine
Wanaendelea sana tu
 
Back
Top Bottom