Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Sawa Mkuu
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa tumekaa na mamkubwa tukadunga zote mbili sijui hata zinaitwaje potelea karibu,
Jana napata taarifa kuna ya 3 sijui imetoka wapi.
Mi bana nimeghairi nakomaa tu kama kufa kupo tu sichomi hiyo ya tatu.
Mungu niwekee jimbo langu huko angalau niwe mkuu wa wilaya au diwani.
Ninapita tu nikaona nikusalimie.Acha kudanganya watu. Hizi chanjo zinatengenezwa na brand tofauti so ilikuja Ile ya urusi sasa imekuja hii J&j then ya September ni Pfizer.
Kama umeshachoma hii hauna haha ya kuchoma nyingine mpaka muda utakapofika wa kuchoma dozi ya pili.
Hizi taarifa zipo tu publicly unazipata just Google tusipende kutoa taarifa zisizo za uhakika.
Nilichoandika ni kuhusu aina ya chanjo nadhani wewe unaongelea maambukizi baada ya kuchanja.Ninapita tu nikaona nikusalimie.
![]()
CDC: 74% Of People Infected in Massachusetts COVID-19 Outbreak Were Vaccinated
A new CDC report found that nearly three-fourths of people who were infected in a COVID-19 outbreak in Massachusetts earlier this summer were fully vaccinated.link.verywellhealth.com
Nilichoandika ni kuhusu aina ya chanjo nadhani wewe unaongelea maambukizi baada ya kuchanja.
Hiyo Ina mjadala wake Ila sio kwenye thread yabwatu humu.
Mama unaongea usichokijua,chanjo no 3 inaan¹7äza September na ni vikongwe wanaanza.September narudia Chanjo mpya sio zile tumepitia ambayo ndo kwanza inatambulishwa hapo.pfizer/Astra zenneca zimepita hii nyingine.Acha kudanganya watu. Hizi chanjo zinatengenezwa na brand tofauti so ilikuja Ile ya urusi sasa imekuja hii J&j then ya September ni Pfizer...
Sawa mkuuSawa tuchanjwe.
lakini wahakikishe kuwa 70% ya watu watapata chanjo.
Kama watachanjwa watu millioni 1 basi ujuwe hawa wana weza kupata corona na kuwaambukiza walobaki ya hiyo inayo itwa Delta wimbi latatu.
Walochanjwa na kupata corona, wanaweza kuambukiza wasochanjwa na ngoma ikawa hatari sana
Hoja zako za kipumbavu kweli, sasa kama sisi unaona hatuna haki ya kupinga chanjo kwa sababu hatuwezi kutengeneza hizo chanjo vp kuhusu wenyewe huko wanaopinga chanjo na ndio wazungu?Huu ujuaji wenu mnaotaka kutuletea hapa haukubaliki hata kidogo.
Mnajifanya mnajua sana kuliko Dunia nzima si ndiyo?...
Kuna wapuuzi wamechanjwa hiyo Uviko zaidi ya mala moja, kakini wanatakiwa wachanjwe tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usichanje mbuga,kadunge chanjo kwa manufaa yako na taifa lako uwalinde wengine kwa manufaa ya wote.
Wewe unafikiria jeKuna wapuuzi wamechanjwa hiyo Uviko zaidi ya mala moja, kakini wanatakiwa wachanjwe tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo maana yake nini?
Yani kusoma hujui, hata picha jamani
Ulaya na Marekani ndio wapi?Suala la chanjo ya corona sio la kukurupuka. Kwa maoni yangu linahitaji muda wa kutosha kujielimisha na kujiridhisha ndipo mtu aamue kuchanjwa au kusubiri zaidi.
Kinachonishangaza ni kwamba dunia
nzima ikiwemo ulaya na marekani zilikoanzia hizo chanjo na kwenye wasomi wengi kuliko huku kwetu raia wamegawanyika. Na si tu raia wa kawaida bali hata wataalam kuna mambo mengi hawakubaliani kuhusu chanjo ya corona...
Japo siko kwenye hiyo Ligi ya mkubali chanjo au mkataa chanjo ila wakati mnatoa hoja jaribu uwe na uhakika. Huko marekani unakosema wanagomea chanjo, je wafaham zaidi ya Asilimia 50 mpaka sasa wamechanja?...