#COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?
Hyo chanjo sio hiari just matter of time , yeyte atakayepinga lazima aandamwe , akiwa hatari zaidi kifo kinaweza kumkabili ..!! Gwajima ajihadhari Sana
 
Bora yenu wenye macho ya mbali kwa maana mna akili.
 
Kwa sababu juhudi za kupambana na COVID-19 hazitfanikiwa kama wengi hawatapata chanjo hivyo huyo virus 🦠 ataendelea kusababisha vifo vingi duniani. Ndani ya miezi 18 vifo duniani kote ni 4,301,000 kati ya wagonjwa milioni 200. Hakuna ugonjwa wowote duniani uliowahi kuua Wagonjwa wengi katika kipindi kifupi.
Kuna baadhi ya waajiri katika nchi nyingi ni lazima au ajira inaota manyasi.
 
Kuna vitu vinashangaza sana Tanzania ni kama watu hawataki mtu awe na mtazamo tofauti na wao au wakubwa zao. Inashangaza kuona Selikari imesema chanjo ni hiari ya mtu ama achanje ama akatae kuchanjwa.

Wapo watu waliosema hadharani kwamba wao wamechanjwa hata kabla Selikari haijaingiza chanjo nchini hakuna aliyewahukumu.

Chanjo zimeingia viongozi wamechanjwa mbele ya kamera wengine wanaendelea kuchanjwa na kampeni za kuhamisisha watu inaendelea nchi nzima ni vizuri sana sasa tatizo linakuja mtu anaposema hadharani mimi sitochanjwa kama alivyosema Mh Polepole watu wamemjia juu kwanini aweke msimamo wake hadharani. Kwani hao wanaochanjwa si wanaweka misimamo yao hadharani mbona hawaulizwi?

Kama chanjo ni hiari basi tukubali kampeni za pande zote mbili wanaotaka kuchanjwa na wasiotaka kuchanjwa kisha muda na Mungu waamue asiwepo mtu akajiona anachoamini yeye ni bora zaidi kuliko cha wenzie.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
wewe unaona Gwajima anaikataa chanjo- kosa lake na lao siyo kukataa bali kukataza wengine tena hadharani.
 
Nchi hii bwana,ETI UGONJWA NI SIRI YA MGONJWA sasa na sindano si iwe siri vivyo hivyo,kwa hiari nikisema nimechanjwa au sijachanjwa isiwe hoja
 
Japo siko kwenye hiyo Ligi ya mkubali chanjo au mkataa chanjo ila wakati mnatoa hoja jaribu uwe na uhakika.
Huko marekani unakosema wanagomea chanjo, je wafaham zaidi ya Asilimia 50 mpaka sasa wamechanja?

Sasa hapa Tanzania chanjo yenyewe ilofika ni Milioni moja na kama ikitokea imetumika yote hapo haifikishi hata asilimia 2 ya idadi ya watu wote nchini.

Je unataka fananisha hivi vitu viwili kweli?

Elimu yetu bado ni ndogo na pia imani yetu na dini bado ni kubwa na ndo utumwa tuloletew tusijijue
Kumbe nikichanjwa nitaonekana ninaelimu enhee (nimeelika) basi ngoja na mimi nikachanjwe nionekane nimeelimika. "Tu es merda de mais, que nao sabes, o que tas a falar "
 
Nchi hii bwana,ETI UGONJWA NI SIRI YA MGONJWA sasa na sindano si iwe siri vivyo hivyo,kwa hiari nikisema nimechanjwa au sijachanjwa isiwe hoja
sema chochote hatutajali ILA tutajali ikiwa utawakataza watu kuchanja HADHARANI
 
Kwa sababu juhudi za kupambana na COVID-19 hazitfanikiwa kama wengi hawatapata chanjo hivyo huyo virus [emoji3083] ataendelea kusababisha vifo vingi duniani. Ndani ya miezi 18 vifo duniani kote ni 4,301,000 kati ya wagonjwa milioni 200. Hakuna ugonjwa wowote duniani uliowahi kuua Wagonjwa wengi katika kipindi kifupi.
Kuna baadhi ya waajiri katika nchi nyingi ni lazima au ajira inaota manyasi.
Kama chanjo haikupi uhakika wa kutokuabukizwa unachanja kwa kazi gani?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwa research gani uliyoifanya hadi kuhitimisha kwamba chanjo haikupi kinga ya kutoambukizwa kama unafuata masharti yote ya kujikinga? Makaburi unayajua wewe!?

Tumalize doses tulizonazo ndo tutaanza kuongea kuhusu kuongeza, na Marekani hagawi hela bali ni bahati nasibu ambayo hata bongo twaweza fuata kuongeza motisha.
Unajua afrika nzima hadi sasa tumechanja kwa asilimia ngapi? kuhusu Marekani iwe hela au bahati na sibu ila ni kwamba wanafanya hivyo ili kushawishi watu wakachanje.
 
Kwa research gani uliyoifanya hadi kuhitimisha kwamba chanjo haikupi kinga ya kutoambukizwa kama unafuata masharti yote ya kujikinga? Makaburi unayajua wewe!?
Wewe baada ya kupata chanjo ya polio ulipewa masharti mengine ya kufuata? Ulipochanjwa surua ulipewa muongozo wa kufuata ili usiumwe surua tena.

Hii chanjo tutakuwa kama kuku ambao kila baada ya miezi 3 wanachanjwa chanjo ileile.
 
Nani alikudanganya hayo? Usifananishe surua na Covid mpuuzi wewe!!! Surua iliua watu wengi hivi duniani kote? Watu wengine banaaaa hupenda kujifanya kujua jambo ambalo hawajui chochote kile. Wataalamu wa magonjwa ya kuambukukiza wanatwambia nini cha kufanya kupambana na hiki kirus na wewe unaleta upuuzi wako. 😳😳😳

wewe ni mjinga na mpuuzi na wapuuzi kama wewe mko wengi, sijui huwa mnaenda shule kufanya nini nani kakuambia kuwa korona ndio ugonjwa ulio ua watu wengi kuliko wote? Mbona hakuna chanjo ya HIV/AIDS mpaka leo au unadhani watu hawakufa? nakuwekea linki hapa kisha niambie ni wapi COVID-19 imeua wengi kuliko magonjwa mengine.

😂😂😂😂😂😂 endelea kujifanya mjuaji tu uombe Mungu Covid isikutane nawe hapo ndiyo utajiona mpumbavu wa hali ya juu kujifanya unajua kumbe hujui lolote ni ZWAZWA TU!

Kwa taarifa yako siugui na sitougua nimekaa na wagonjwa wa COVID-19 zaid ya watatu ila wewe uwe tayari maana kila mtu atakula matunda ya kinywa chake.
 
Hahahahaha lol!

Back
Top Bottom