#COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?
Baada ya kupata chanjo juzi
Kuna maudhui ya hapa na pale lakini niko vizuri
Unaweza ukadhani ndio nimeambukizwa COVID-19🦠😷
 
Ndugu zangu naomba kuelimishwa , nina ndugu zangu na jamaa wakaribu waliopigwa na corona 1st wave na 2nd wave, wengi wao wamefanikiwa kupona ingawa wengine walifariki.
Sasa kwa wale waliougua wakafikia hali ambayo ni critical kwa sasa wamepatwa na ugonjwa wa kisukari. Je kuna ukweli wowote kuwa huu ugonjwa ni kweli unasababisha kisukari?
naomba kuelimishwa.
 
Wagonjwa wa Covid wanakuwa na high blood sugar levels. Sina uhakika kwa waliopona.
 
Wadau mpooo nataka tujadili kuhusu chanjo ya covid19 Kuna sehemu nimeona watu Wana lazimishwa kucho na usipo choma unatishiwa kufukuzwa kazi na Kama mnavyo jua wa Tanzania Ni masikini wanataka kukubari kinyonge hii imekaaje wadau tuna wadaidiaje kima wazo na maisha bila ya kazi haya endi na chanjo Kama mnavyo jua Ni hiyari ila waajiriwao ambao Ni wachina Wana lazimisha na watu wanaogopa kuchanja Wana wasi wasi na chanjo
 
Hivi pale mnapo maliza kuchanja huwa mnajisikiaje au safi tu nataka leo niende msaada
 
Laurie Roth
One of the Cabals’ favorite depopulation strategies has been people ‘accidently’ and over time, dying from vaccines. We are here. This is happening now. Genocide is upon us and we must figure out now if we will live or die.
Snap out of it people.

There really is a world-wide plan by global elites to reduce the population down to 500 million. Bill Gates has gotten hit hard by us ‘Conspiracy theorists, allegedly taking his statements out of context, implying he wants to kill off 3 billion people, along with his Communist, anti-American buddies Klaus Schwab and George Soros. Some of you don’t know that George Soros was a NAZI who turned in his Jewish neighbors during WW11. His evil and deadly values and empire grew from there.

Even reading all the ‘sold out’ fact checkers who defend Bill Gates and all on the cabal-left, they even admit he has said that vaccines will take care of world population by taking it way down since they reduce fertility and birth rates. What? Gates is a saint for saying this part? The blessed Vaccines will control our population by destroying the pregnancies of women and murdering their babies. I feel so much better now that I know he doesn’t want to murder hundreds of millions – only useless eater pregnancies and crying babies.
Real numbers are not being reported to deceive the population into take a first, second and now a 3rd (are there 4th through 15th rounds of these shots. If they worked in the first place, why would they need endless more. Because, they don’t work, except to soon, kill you. Maybe the FDA and CDC will just give out a daily shot/vaccine pill you can take so that the killer proteins can attack you more frequently at your home.

It is known and getting out there more and more, the deadly spike protein that attaches itself to your blood wall and renders your immune system worthless.
The amount of death already from taking the vaccine are not accurately known due to the lies and corruption in so many Governments and institutions like the CDC. One whistle blower came out saying that the CDC was lying about the vaccine deaths. They were reporting 11,000 deaths, but it was more like 45000. Since most vaccine related deaths are not even being reported by medical professionals due to them being threatened or paid off, the real number may never be known.

One hero, Doctor and truth teller states that there are most likely only 10-20% of the real vaccine related deaths being reported. That 45,000 number is probably more like 250,000 or more.

Doctors throughout the world are coming forward and telling us the truth of the real danger of the Vaccines. Check out the brave words of Peter McCullough, MD.

Once again, we are told the truth by a Medical Doctor, risking their careers and life to say what is really going on.
Life and truth giving information is leaking out all over about the deadly dangers of taking the Covid-19 experimental vaccines. It is also coming out the corruption, depopulation agenda and enslavement and control plan associated with all of this.

Join me. Fight and stand. Don’t get on the death train. Live.
© 2021 NWV – All Rights Reserved
E-Mail Laurie Roth: [email protected]
This content is courtesy of, and owned and copyrighted by, NWV-2020 and its author. This content is made available by use of the public RSS feed offered by the host site and is used for educational purposes only. If you are the author or represent the host site and would like this content removed now and in the future, please contact USSANews.com using the email address in the Contact page found in the website menu.
 
[emoji2398] 2021 NWV – All Rights Reserved

It's too late now.. 5 generations from now will never forgive us for what our generation have done!
 
  1. Hiroshima & Nagasaki (kwa tuliosoma Historia) Mabomu ya Nyuklia. Majaribio yaliyotengeneza Matokeo zaidi ya Matarajio Miaka ile ya 1940's
  2. Kutokea kwa Virusi vya Upungufu wa Kinga Mwilini (UKIMWI) Miaka ya 1980's Afrika, Mpango mkakati uliozidi matarajio ya walioanzisha. Waliamini utaitafuna Afrika pekee lakini haikuwa hivyo, Virusi vikawafikia mpaka wao.
  3. Mlipuko wa gonjwa la Ebola miaka 1970's DRC na baadae kuleta heka heka Bara la Afrika hususani Nchi za Magharibi mwa Afrika (Yawezekana dili ya maharamia ilibuma)
  4. Migogoro endelevu ya Asia na Afrika, Mfano matukio ya Libya na mauaji ya Kan. Muammar al-Gaddafi, DRC, Tunisia, Iraq na kunyongwa kwa Saddam Hussein, Afghanistan n.k
  5. Kuibuka kwa UVIKO-19 kutokea Amerika (USA) Mpaka Asia (China) na baadae dunia nzima na kampeni nyingi juu ya janga lenyewe, sasa ni chanjo, mzigo ulianza na reverse!
NI TAFAKARI TU!​
 
Nawashauru wanajamii forum wenzangu msikubali kuchanjwa mtakuja mnikumbuke
 
Wanaosema chanjo ni salama ni madaktari.

Wanaosema chanjo si salama ni madaktari.

Sisi tusio madaktari tufanye nini?

Akili njema ni kusikiliza pande zote, kisha chambua ukweli. Utauona tu.

Halafu fanya uamuzi.

Usiongozwe na hofu; ongozwa na ufahamu.

Uamuzi wa haraka utafunga mlango ambao hutaweza kufungua tena.

The world is not what you think it is.

Screen Shot 2021-08-25 at 4.13.27 PM.png
 
Nimesoma makala haya yanayosema: 1976 Swine Flu Scandal: The CDC’s history of lying about vaccine dangers and effectiveness (Kashfa ya mafua ya nguruwe 1976: Historia ya udanganyifu wa CDC kuhusu hatari na uwezo wa kufanya kazi wa chanjo)

Makala haya yanabainisha mambo kadhaa ya muhimu:
  1. Wazalishaji na waenezaji wa uongo walikuwa CDC (Centre for Disease Control) ya Marekani – ambao ndio haohao leo wameeneza suala la chanjo zinazowika sasa.
  2. Walieneza uongo kuhusu mafua ya nguruwe kama ambavyo leo wanaeneza habari za mafua yaitwayo korona.
  3. Waliingiza harakaharaka chanjo kwa ajili ya mafua hayo kabla ya uchunguzi wa kutosha kama ambavyo wamefanya chanjo ya korona.
  4. Walitumia watu maarufu na vyombo vya habari kueneza uongo huo kama ilivyo leo.
  5. Uongo wao ulisababisha mateso, ulemavu na vifo vya watu wengi – si kutokana na hayo mafua bali kutokana na chanjo; kama abavyo yanatokea leo.
……….
Those that fail to learn from history are doomed to repeat it.
Winston Churchill​
……….
Link hii inakuoyesha wazi namna ambayo watu wanalemaa, wanatesema, wanakufa kwa sababu ya kutojifunza kutokana na historia (1976 Swine Flu Scandal: The CDC’s History of Lying About Vaccine Dangers and Effectiveness )

Kwenye tovuti ya healthimpactnews utakuta pia watu wametajwa kwa majina na picha zimewekwa, ambao wameathiriwa na janga la chanjo. Kuna takwimu za maelfu ya vifo na athari mbalimbali zimewekwa.
………
Dunia inaswagwa kupelekwa mahali fulani.
Walianza zamani lakini wako karibu kufanikiwa.
Connect the dots.
 
Waliochanjwa wakisoma wanakuwa na Ofu sanaa.
Wanalazimisha na wengine wachanjwa ili tufanani
 
Kwa kiasi kikubwa nchi za mabeberu ni maskini wa maliasili!! Kwa hiyo wamekuja na mkakati wa kuhakikisha wanatumia corona kuvuna mabilioni muda wote toka nchi zingine!! Wanatengeneza mawimbi bandia ya corona ili kuhakikisha chanjo zinakuwa bidhaa ya kudumu.

Kwa sasa Uingereza imetangaza kuwa chanjo ya corona booster ni kila baada ya miezi 3 kwa watu wote kuanzia miaka 12 na kuendelea!! kwa vyo vyote vile hili jambo halitekelezeki kwa nchi zetu hizi, au labda uamue kila pesa unayopata inunue chanjo tu.

Ukifanya hivyo tayari unawafanya watu kuwa watumwa wa kufanya kazi ili kipato kinachopatikana kipelekwe kwa mabeberu kulipia chanjo!!

JPM alisema nooooo!!! na watanzania tulimwelewa!! Kutuambia vinginevyo na ngonjera za barakoa ni kutwanga maji kwenye kinu!! Endeleeni kina-akwilapo labda mtafanikiwa kuyatwanga maji kwenye kinu!!
 
Back
Top Bottom