covid 19
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 6,967
- 17,452
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki, osterbay na kigamboni mnajua siri ya hao vijana.?
Kuna wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wanawatumia hawa vijana kinyume na maumbile km sehemu ya wao kutimiza masharti ya waganga wa kienyeji ili kufanikisha mambo yao.
Bahati mbaya hawa vijana wao wanaon km wameyapatia kumbe wanatumiwa tu na malipoyk ndio wanapangishiwa hizo apartments na nyumba zima.. ili muda wwte wakubwa hao wakitaka kufanya uchafu wao huo iwe rahisi.
Jaman hichi nilichoandika ni kweli kabisa nimeshuhudia na kuprove kwa macho yangu kutoka kwa watu wangu wa karibu nilikutana nao sehemu tofauti kikazi ambao ni waathirika wa unyama huu wao wanaona sawa maana wanaishi expensive life hadi magari wamenunuliwa hawaelewi.
Uchuguzi wangu nimegundua Mmoja anatajiri mkubwa wa madini na mwingine mtu wake ni katibu mkuu wizara moja hivi..