Chanzo ambacho hakisemwi cha ongezeko la ushoga ni ushirikina, wazazi wachungeni sana vijana wenu wa kiume

Chanzo ambacho hakisemwi cha ongezeko la ushoga ni ushirikina, wazazi wachungeni sana vijana wenu wa kiume

covid 19

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2014
Posts
6,967
Reaction score
17,452
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki, osterbay na kigamboni mnajua siri ya hao vijana.?

Kuna wafanyabiashara na viongozi mbalimbali wanawatumia hawa vijana kinyume na maumbile km sehemu ya wao kutimiza masharti ya waganga wa kienyeji ili kufanikisha mambo yao.

Bahati mbaya hawa vijana wao wanaon km wameyapatia kumbe wanatumiwa tu na malipoyk ndio wanapangishiwa hizo apartments na nyumba zima.. ili muda wwte wakubwa hao wakitaka kufanya uchafu wao huo iwe rahisi.

Jaman hichi nilichoandika ni kweli kabisa nimeshuhudia na kuprove kwa macho yangu kutoka kwa watu wangu wa karibu nilikutana nao sehemu tofauti kikazi ambao ni waathirika wa unyama huu wao wanaona sawa maana wanaishi expensive life hadi magari wamenunuliwa hawaelewi.

Uchuguzi wangu nimegundua Mmoja anatajiri mkubwa wa madini na mwingine mtu wake ni katibu mkuu wizara moja hivi..
 
Ulikuwa umechelewa tu kufahamu mkuu, lakini binafsi nachukizwa sana na mada za aina hii 😬😬
Hapana hili swala limeniuma sana nilivyojua nikasema lazima niwajulishe wana jf ili wawalinde vijana wao..
Vijana wanadanganyika kirahisi sababu ya tamaa ya kuishi expensive live bila jasho isee!
 
I know gay friends, this am not sure,

Lastly most gays are very rich maana house hold ina wanaume wawili. kuna gay wengi ni designers hapa mjini. pesa ndefu ipo. wengine born rich I know few. two are class mates . wazee wao very famous town hapa. mwingine
ana abroad support.
grinder ndo cause of all rich gays in africa
due to tourism

sema njia nzuri ni ku avoid hawa watu wasi unionized. tukiluhusu hii itatucost kama taifa.
 
Usiogope hawana akili hiyo.
 
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mashoga au mabwabwa au mchicha mwiba tena ajabu zaidi vijana hawa wanaonyesha kuwa na maisha makubwa wanaishi kwenye apartment za masaki, osterbay na kigamboni mnajua siri ya hao vijana.?
Wengi wao huwa na tamaa ya maisha pia wapo walio anza:-

1) Boarding school.
2) Tamaa ya maisha.
3) Watoto wenzao kuwafanya utotoni.
4) Tourists wapo wanao fanywa na wanao fanya.
5) Vijana wa chuo wanao angalia porn na kuishia kufanya wenyewe ghettoni.
6) Walimu(wenye dhamana ya kuwasomesha na kuishia kuwaharibu).
7) Ulevi.
 
Kuna mmoja yeye pesa zake zinamtaka aingiliwe, ila wengi wao ni matokeo ya wanaume waharibifu wasio na hofu.! Mjomba, baba mdogo, babu. Hawa watu ni waharibifu sana. Sema jf hahiruhusu kuweka video, ila ningeweka muone baba mtu mzima anampanda ng’ombe na mate anampakia. Sasa mtu km huyo ukimuacha na mtoto atashindwa kumuingilia??!
 
Back
Top Bottom