Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Sio shadee, kuna dada mwingine black hivi sio mtangazajiShadee ni HR clouds mkuu au unamsemea yupi?
Ah..Skywalker(sijui km spelling ndio hz) huyo myama sana yule jamaa!Sijui wengine huwa mnaangalia vipi uwezo wa watangazaji.
Iko hivi kwa show za mchana Tanzania yote hakuna kama Twangala.
Hao kina crispin ni wapiga kelele tu hawajui kitu.
Mtu aliyekuwa anamuweza Dozen kwa show za mchana alikuwa Kidbway na mwamba mmoja nimemsahau wa RFA miaka hiyo now days namuona yupo na online radio.
Sio shadee, kuna dada mwingine black hivi sio mtangazaji
na alisisitiza kabisa kwa kaulimbiu kwamba hii sera itakua endelevu.Kwelii Kabisaaa mkuu mbowe alishaliongelea hili swala sema ccm niwabishi Sana.
Shadee wakishaachana muda.. huyo HR ni Faudhia.. Halafu sijui kwa nini B12 wasichana wake anachukua Hapo hapo Clouds?Shadee ni HR clouds mkuu au unamsemea yupi?
Barida ariffYou so negative bwana mdogo
Mimi sijauliza kwa maana ya kupinga, nimeuliza hivyo as nimeshangaa sijawahi msikia pale mawingu, nikawaza pengine ni usajili mpya ndo mana kwenye kupita pita redioni sijamsikia?
Ingetosha tu kusema hayupo kwenye spotlight kwasababu hatangazi.
ngono gani hyo wanayoizungumzia...?
duuuuuuuuuuuuuuh..... ntaacha kusikiliza Radio or ntasikiliza hz za mikoani
Picha za XxxXXL maanayake nini
Sikiliza Dizzim Fm ya Jiji kasoro bahari moro town babyduuuuuuuuuuuuuuh..... ntaacha kusikiliza Radio or ntasikiliza hz za mikoani
Kidbway yupo Clouds saiv kwenye kamati ya Fiesta na kina Seba Maganga,,uyo mwengine unaemzungumzia ni Frederick Bundala Sky Walker au?
Aisee
Kidbway/ Sandu George kitambo sana pale radio free.
Amekuepo clouds tangu lini?
Skywalker
Sky walker/Fredrick Bundala
Amka kijanaNa Million 6 biashara gani naweza kufanya hapa Marekani na ikanitoa kimaisha?
Inasemekana Dozen kilichomuondoa Clouds ni mapenzi.
Aliyekua mpenzi wake ni HR, sasa hawa wadada wakishaachana na mtu figisu za wazi haziishi ndiyo mwamba akaona ajiweke pembeni.
NB: Inasemekana.
Mkuu unaweza ukabold haya maelezo yako pia kama hutojali print kabisa, kwa matumizi ya baadaeKuna uwezekano mkubwa akarudi tena CMG hapo baadae unless kuwepo sababu muhimu sana zaidi ya hizo.
Muda sana tangu 2016Aisee
Kidbway/ Sandu George kitambo sana pale radio free.
Amekuepo clouds tangu lini?
Saasawa sheikMuda sana tangu 2016
Kuna uwezekano mkubwa akarudi tena CMG hapo baadae unless kuwepo sababu muhimu sana zaidi ya hizo.