Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

Chanzo cha B. Dozen kuhama Clouds

Sijui wengine huwa mnaangalia vipi uwezo wa watangazaji.

Iko hivi kwa show za mchana Tanzania yote hakuna kama Twangala.

Hao kina crispin ni wapiga kelele tu hawajui kitu.

Mtu aliyekuwa anamuweza Dozen kwa show za mchana alikuwa Kidbway na mwamba mmoja nimemsahau wa RFA miaka hiyo now days namuona yupo na online radio.
Ah..Skywalker(sijui km spelling ndio hz) huyo myama sana yule jamaa!
 
You so negative bwana mdogo

Mimi sijauliza kwa maana ya kupinga, nimeuliza hivyo as nimeshangaa sijawahi msikia pale mawingu, nikawaza pengine ni usajili mpya ndo mana kwenye kupita pita redioni sijamsikia?

Ingetosha tu kusema hayupo kwenye spotlight kwasababu hatangazi.
Barida ariff
 
Kidbway yupo Clouds saiv kwenye kamati ya Fiesta na kina Seba Maganga,,uyo mwengine unaemzungumzia ni Frederick Bundala Sky Walker au?

Yeah sky mzee anajua sana
Mwamba

Aisee

Kidbway/ Sandu George kitambo sana pale radio free.

Amekuepo clouds tangu lini?

Kidbway yupo clouds fm? Anafanya kazi gani pale

Skywalker

Yeah skywalker

Sky walker/Fredrick Bundala


Yeah mkuu Fredrick bundala.
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Inasemekana Babra hasani na Adam mchovu + geff leah wanakwenda efm piaa
Inasemekana Dozen kilichomuondoa Clouds ni mapenzi.

Aliyekua mpenzi wake ni HR, sasa hawa wadada wakishaachana na mtu figisu za wazi haziishi ndiyo mwamba akaona ajiweke pembeni.

NB: Inasemekana.
 
Huu mchezo hauhitaji hasira,wasafi wamewapiga bao times fm,EFM wamewapiga bao mawingu
Nawaona mawingu wakitafuta nani wakuziba pengo la dozen

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom