Chanzo cha Dunia, Uhai na Ulimwengu ni nini?

Tulia usome acha ubishi 😀 😀 😀 mpaka watu kufika bilion 8 basi kulikuwana chanzo mpaka idadi ikafika hapa.
Sasa taja, eleza na thibitisha hicho chanzo nini?

Sio kufosi fosi tu chanzo kipo, Halafu kukithibitisha hicho chanzo huwezi.

Unafosi fosi tu.
 
Sawa mkuu….
Mimi sikubishiiiii vile unavyowaza na ndio maana ya kutumia akili uko,,,,
Hongera sana. 👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿
 
Hiyo Marking scheme ya hili swali ipo Kwa mujibu wa principle gani?🤣🤣🤣🤣
 
Habari wakuu

Kwanza kabisa niombe shukrani kwa kunipa nafasi ya kujibu swali hili kama ifuatavyo;
1;dunia
Hakuna kitu kinaitwa dunia bali dunia ni ni human mind perception moja kwa moja hakuna chanzo cha dunia wakamua kuita dunia

2;kuhusu uhai niseme kwamba ,hakuna kitu kinaitwa uhai na hakuna uhai bali uhai neno ambalo limeundwa na mwanadamu kutokana na human mind perception yaan mind concious ya mwanadamu ambayo inaamini kuna kitu kinaitwa uhai na kiumbe kisicho hai, wakati kiuhalisia hakuna kiumbe kisicho hai bali concious mind ya mwanadamu imeishia hapo nakuamini kua kuna viumbe hai na visivyo hai kitu ambacho si sahihi

3;ulimwengu kwa kimombo ni universe ni miongoni wa maneno ambayo yaliundwa kutokana na ufahamu wa mwanadamu kuhusu mazingira yanayomzunguka

JIBU.
hakuna kitu kinautwa uhai,dunia na ulimwengu in real world bali ni ni perception of human mind yaani concious mind

💥hakuna dunia ,hakuna uhai,hakuna ulimwengu bali hivyo vyote ni illision tu na propaganda za wanadamu

👉No sources for nothing
 
Unajuaje kuna chanzo?

Na nitatoaje principles nisizozijua?

Nitatoaje dini nisizozijua?
 
Mfano mototo mchanga achukuliwe na awekwe katikati ya msitu akisha kuwa ukimfata na kumuuliza nani amekuweka hapa hato kupa jibu sahihi na atajibu hakuna alie nileta nipo tuu, kwasababu wakati analetwa hakuwa na ufahamu wa kujuwa ni wapi ametoka so ni ngumu kujuwa. Chanzo cha binadamu na dunia kwa ujumla.
Tume futwa kumbukumbu ni wapi tumetoka na atufahamu ni wapi tunakwenda.
 
 
Sawa mkuu….
Mimi sikubishiiiii vile unavyowaza na ndio maana ya kutumia akili uko,,,,
Hongera sana. 👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿
Yani ukishaanza kuweka ulazima wa kwamba kila kitu lazima kiwe na mtengenezaji, Hata huyo mtengenezaji mwenyewe huwezi kumu exclude kwenye kutengenezwa.

Na kama hakuna ulazima huo, Hata vitu vyote vilivyopo havihitaji kuwa na mtengenezaji wake.
 
Ni kweli mkuu kwa kiasi chake
 
Mkuu inaonekana ww jibu unalijua maana umesema atakayepatia jibu atakua mtu mwenye akili zaidi duniani kwahiyo kwa sasa mtu mwenye akili zaidi dunian n wewe
 
Nguvu ya asili isiyo na chanzo inayoratibu ulimwengu
 
Kama nitakosea naomba kusahihishwa. Bwana Newton kwenye ile third law of motion alisema "In every action there is equal and opposite reaction" Je alifanya rejea wapi ?
Newton alitumia rejea. Mgoogle mtu anaitwa Galileo Galilei na uhusiano wake na Newton law of motion. Kwa ufupi Newton hakuumba swali, alitengeneza swali akaja na majibu.

tukiachana na Newton tukarudi kwako brojust wa Tanganyika, Wewe hujaumba wala hujatengeneza swali, umeleta swali ambalo lilishaumbwa tayari katika historia na unataka majibu yasiyohusisha historia na huna nyenzo za kuthibitisha majibu ya kufikirika utakayopewa. Hii kwa lugha fupi unataka blah blah.
Swali la msingi ? Tumia akili yako kujibu na kuja na jibu ambalo sio la kumezeshwa kwenye Dini au sayansi. Ndio maana nimesema Acha blablah jibu swali kwa kutumia akili yako, Njoo na principle yako iishi miaka Mia mbele.
Hili ufanyalo ndo blah, blah boss.

Hichi unachofanya ni sawa na wale wa Tandale wanaotengeneza helkopta zao kwa tech ya zamani ambayo dunia ilishaiacha miaka 1000 nyuma huku wakisifiwa mbuyu ulianza kama mchicha.

Karne nyingi zimepita na swali limetolewa majibu mengi tayari mpaka kufikia leo hii, ruhusu rejea kisha zikisolewe na kujadiliwa ndo kunaweza kutokea jibu jipya.
 
Binadamu hana chanzo.

Binadamu ndio chanzo chenyewe cha ubinadamu.

Vivyo hivyo kwa viumbe wote.

Na universe kwa ujumla.

Wala hakuna aliyetufuta kumbukumbu, Ni wewe tu unadhani na kuhisi hivyo.

Kwamba kuna kitu kilitufuta kumbukumbu.

Ila in reality, hakipo.
 
Hiyo Marking scheme ya hili swali ipo Kwa mujibu wa principle gani?🤣🤣🤣🤣
Marking scheme yake ipo pale tu utakapo ruhusu ubongo wako kutoa jibu nnje ya Imani na Sayansi. Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…