Prove.........ukishindwa Anza kuchambia tango maana utakuwa umeuanza ugosha
Ni weweNinachotaka kujua ni kimoja tuu.
NANI ANAFUATA....
Ndio prove yako??Kwanini asipelekwe Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete? Kwa wale ambao hawaamini kuwa serikali hii ni ya wapika data sasa wajiridhishe na hizi taarifa za kitapeli za serikali.
cardiac arrest.hainaga Cha kuwahisha,ile huja Kama secunde za saa zinavo display na ku disappearSo, kwanini hakuwahishwa Jakaya Kikwete Heart Institute?
Ndio prove yako??
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais Utumishi , Dr Laurian Ndumbalo imeeleza kwamba Mh Kijazi amefariki kutokana na Matatizo ya Moyo .
Chanzo : MwanaHalisi TV
View attachment 1707485
Kwani mtu akipata mstuko wa moyo lazima apelekwe taasisi ya Jakaya Kikwete? Unataka kusema Bugando au Dodoma hamna wagonjwa wa moyo?Nimecheka kwa nguvu, kweli ww ni bonge la kilaza, Mkuchika yuko India mpaka leo, mbona hakupelekwa Dodoma kutibiwa? Na isitoshe wagonjwa wa moyo wanapelekwa Dodoma na sio Taasisi ya Moyo ya Jakaya? Nadhani kwa maelezo haya umejua kuwa ww ni wale mnaoburuzwa huko ccm, kwakuwa uwezo wenu wa kujiuliza uko chini.
Ahaaaa. Kibibi una uhakika kuwa mimi muongo? Nidanganye kwa faida gani?Kuna muongo kukuzidi humu ?
Pumbavu!Prove.........ukishindwa Anza kuchambia tango maana utakuwa umeuanza ugosha
Duh! Pasaka !Kwahiyo ugonjwa wa moyo ndio umefanya wafanyazi wa state house 🏠 Dodoma 90% kuwa hoi taabani , mpaka Jiwe kakimbilia Dar mbioni chato kwa kisingizio Cha mapumziko ya pasaka .
Wengine humu wanatafuta mabwana hivyo kausha.Jana nimekuonya kuwa kaa mbali na mimi ila naona bado unashoboka!Stay away from me!Sikutaki please.
🤣🤣🤣Wengine humu wanatafuta mabwana hivyo kausha.
Nani asiyejua bwana John....endeleeni na mazoezi ya kifuaNdumbaro amekata mzizi wa fitina.
Chadema macho kodo!
Bwashee rejea kauli ya Hayati Baba wa Taifa alisema nanukuu "hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya kwamba hayapo."Ndumbaro amekata mzizi wa fitina.
Chadema macho kodo!
Ninachotaka kujua ni kimoja tuu.
NANI ANAFUATA....
KoooooooooooooooonaTaarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu ofisi ya Rais Utumishi , Dr Laurian Ndumbalo imeeleza kwamba Mh Kijazi amefariki kutokana na Matatizo ya Moyo .
Chanzo : MwanaHalisi TV
View attachment 1707485
Kwa mujibu wa takwimu vifo Tanzania Mwaka 20/21 vifo ni 6.155% ya watu milioni 60, ambayo ni sawa na watu 3,693,000 wanafariki kwa mwaka. Hii sawa na watu 10200 wanakufa kwa siku kabla ya COVID 19. Usiulize nani anafuata. Bahati nzuri ni kwamba hata CORONA hupitia walioko njiani kwenda kwa Mungu. Watu wanaokufa kwa corona without other health complications ni ya o.5%.Ninachotaka kujua ni kimoja tuu.
NANI ANAFUATA....