Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

Chanzo cha kifo cha Mandojo ni mke wake, wanawake punguzeni midomo

Hapa hutaki mke wa Mandojo asingiziwe (Japo huna uhakika wa tukio)

Halafu hapa una kiri kua hakuna ndoa isiyo na migogoro,

Sasa mkuu mbona hueleweki hapa umesimamia nini?
Hueleweki unauliza nini
 
Tuliza akili wewe
Ulitakuwa wewe ndio ujiambie hivyo,

Unaandika kua mke wa Mandojo asisingiziwe kwa vitu visivyomuhusu,
Halafu hapo hapo unasema kua hakuna ndoa isiyokua na migogoro!!

Hujashtuka tu bado kua unapinga jambo moja kisha unarudia kulikubali jambo ulilolipinga wewe mwenyewe mwanzoni?
 
Swali lako halieleweki
 
Kila kifo kinakuwa na sababu yake siku zake zilifika ndio mana hatupo nae tena
 
Back
Top Bottom