Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi

Kitu chochote ukishakiona sana na kukizoea huwa hakina mvuto.Wanawake wengi wanatembea uchi,wanaume wanawaona,nguo fupi za kubana,mapaja,makalio,matiti,,wengine matumbo wazi na kichwa wazi,wanaume wana viona hivyo kabla hata kijana hajaoa,akioa anakuta vitu vile vile alivyovizoea,alivyokuwa akiviona barabarani,kwa hiyo vinazoeleka,hii ndio chanzo cha matatizo ya nguvu za kiume.Hapo zamani pia,hao kina babu waliwaona wanawake wakiwa uchi,ikawa hawana nguvu za kiume,ndio mwanzo,wakutafuta dawa za nguvu za kiume,ndio hizi zinazotumika mpaka sasa.
Na hii nguvu ya kupandikiza,ya upasuaji,haiko sawa na nguvu ya asili,nguvu ya asili ina raha yake pande zote za mwanamme na mwanamke.
Dawa ya nguvu ya kiume ni wanawake kujistiri,hii ndio dawa pekee.
 
Zamani nilikuwa nikiwa nakuwa nikiwa kijana nilikuwa nikiona pingili za mwanamke baina ya mguu na goti nilikuwa naona ni sehemu ya tupu yake ila siku siku hizi nishazoea maana kuna vitu kuzuia macho kuona labda utafute dunia yako, huwa najiulizaga Mme anatoka na mke, mke kijimstari baina ya manyonyo mawili kinaonekana, yaani maungo yake mengi yapo wazi wazi huwa nafikiria sjui ni wanaume wa aina gani hawa

Lakini tusilaumu nguvu za kiume wala wala wanawake tujilaumu sisi wenyewe, ni Mara ngapi tukileta Sera za kujistiri humu(even kisabato type, maana wengi wakisikia neno stara wanazani tunataka kuwasilimisha au kuwavalisha shungi) mnatupiga mawe mnasema tamaduni za middle east na matusi kama yote??

Look!

Nakumbuka miaka ya bongo fleva ya wabana kuanza (let say 1999 mpaka 2007) wale mabinti Wa kwenye video zao walikuwa wakivaa suruali, vijinguo vile vya kuacha mgongo wazi ila kifua kimefunikwa, na min skirt, hawakuwahi kuacha maumbile yao wazi ila wazee wetu walikuwa wakipiga kelele wakidai ni uhuni, believe me sasa hivi ukiangalia zile video(the flash back) utaona wale walikuwa na adabu na hofu ya mungu kidogo hahahah, now days mmmmh ni uchi uchi vichupi chupi ko ni kweli vile vitu sio vya kuona Mara kwa Mara ukavizoea, hutakiwi kuvizoea unatakiwa kila ukiviona unastuka lakini sasa hivi ukitoka nyuki na kariakoo utaona kwa tani yako
 
Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume.
Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo.
Mabarabarani nako utakutana na wasichana wauzaji vyakula vya asili wakisema vinarudisha hizo nguvu lakini bado tu tatizo linaendelea kusumbua.
Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi.Kwa shani yake Mwenyezi Mungu kawaumba wanawake katika maumbile mazuri sana na kuvifanya viungo vyao vivutie jicho la mtazamaji.Hakumalizia hapo akawataka viumbe wake wavae nguo ili kuvifuniko viungo hivyo ili visionekane kwa wasio waume zao.
Hata wakiwa kwa waume zao huko ndani pia wanatakiwa wasijiachie moja kwa moja.Wavae mavazi mepesi kama kwamba wanawaonea haya waume zao hao.
Athari ya wanawake kuonesha mapambo ya viungo vyao huko nje ni kuwa wanaume hata wasiopenda kuwaangalia huwa wanawaona na kugandisha sura zao akilini mwao.Wanapofika ndani badala ya kukazia kuawaangalia wake zao akili huwa zinawarudisha kule barabarani.Kwa kila uzuri alionao mke wako lazima kutakuwa na wengine uliowaona wakiwa nusu uchi wakiwa wazuri kuliko wa kwako.Mwisho wa yote matamanio yanagawnyika baina ya pale chumbani na kule barabarani.
Mtoa mada.. jitahidi kuweka paragraphs.

Binafsi nimeona watembea uchi live na kwenye simu.

Ila kama kwel ni kidume cha mbegu weka mbali kuona ukiguswa tu mwili na jinsia ya kike ni lazima usimamishe ( ukiwa ktk eneo husika ).

Labda maswala ya usafi ndio yatamvuruga mchakataji
 
Zamani nilikuwa nikiwa nakuwa nikiwa kijana nilikuwa nikiona pingili za mwanamke baina ya mguu na goti nilikuwa naona ni sehemu ya tupu yake ila siku siku hizi nishazoea maana kuna vitu kuzuia macho kuona labda utafute dunia yako, huwa najiulizaga Mme anatoka na mke, mke kijimstari baina ya manyonyo mawili kinaonekana, yaani maungo yake mengi yapo wazi wazi huwa nafikiria sjui ni wanaume wa aina gani hawa

Lakini tusilaumu nguvu za kiume wala wala wanawake tujilaumu sisi wenyewe, ni Mara ngapi tukileta Sera za kujistiri humu(even kisabato type, maana wengi wakisikia neno stara wanazani tunataka kuwasilimisha au kuwavalisha shungi) mnatupiga mawe mnasema tamaduni za middle east na matusi kama yote??

Look!

Nakumbuka miaka ya bongo fleva ya wabana kuanza (let say 1999 mpaka 2007) wale mabinti Wa kwenye video zao walikuwa wakivaa suruali, vijinguo vile vya kuacha mgongo wazi ila kifua kimefunikwa, na min skirt, hawakuwahi kuacha maumbile yao wazi ila wazee wetu walikuwa wakipiga kelele wakidai ni uhuni, believe me sasa hivi ukiangalia zile video(the flash back) utaona wale walikuwa na adabu na hofu ya mungu kidogo hahahah, now days mmmmh ni uchi uchi vichupi chupi ko ni kweli vile vitu sio vya kuona Mara kwa Mara ukavizoea, hutakiwi kuvizoea unatakiwa kila ukiviona unastuka lakini sasa hivi ukitoka nyuki na kariakoo utaona kwa tani yako
Ukiwambia kuhusu kujistili wanawake, wagalatia wataanza kutukana waislam
 
Kwahiyooooo, unatakaje mkuu! mimi wa mtaani wanavutia lakini hasira zote nazimalizia kwa wife, kwa mke wangu sijawahi kufeli kwa sabu sioni cha ajabu hao wa mtaani nishakula sana ni vle vile tu hazina tofauti, wale wanaofeli ni wameanza mapenzi ukubwani ujana uliwapita ndio maana wanapagawa na wakaa uchi
 
Swala la nguvu za kiume ni janga la kitaifa, mfumo wa maisha na madawa ya akina mama wanayotumia,,kemikali zakutafuta mvuto,vipandikizi,,madonge ya majira,ukichnganya masoda,.mayai ya kisasa bloila kuku yaan tabu tupuuuu! Hebu Kwa mwanaume afanye zoezi la kula supu ya ngombe anapiga na yai la kienyeji na maziwa ya mtindi au freshi,,hiyo Kwa asubuhi,hrf apige mazoez kias kunywa maji mengi epuka vyakula vyenye mafuta meng na sukari,,,, dawa ya kutibu Kwa mwenye tatizo achukue watoto wa ndizi achanganye na ndevu za mahindi anachemsha awe anakuywa glas 1 mara 3 Kwa siku, apige wiki 1 !
 
Huo ni uongo mtupu, tena ni ujinga kuamini hayo maupupu uliyoandika.
Tangu enzi ya uumbaji Mungu aliumba viumbe woote wakiwa uchi na utupu. Mavazi na makorokoro mengine vimekuja baada ya dhambi kuingia.
Ndio maana mpaka leo mwanamke wa kiafrika bado yuko uchi wakati wa kunyonyesha.
Leo hii sisi waafrika tunajifanya tuko uchi ety wastaarabu! 🥱
Wakati mavazi yenyewe wametuletea wazungu juzi tu hapa.
Tumesahau kuwa asili ya mwafrika kukaa uchiiiiii[emoji848]???
Hao wazungu waliotuletea hayo manguo leo wanakaa uchi lkn wala hawabakani na wala hawana hayo matatizo ya kupungukiwa nguvu zaidi ya kujitoa fahamu tu walizonazo.
Leo hii unamuona mwafrika na jua kali lotee amejifunika mishuka meusi tiii kuanzia utosini mpaka unyayoni kisa kaambiwa ajistili atapata thawabu kwa Allah [emoji15]....
Ndio maana magonjwa mengi yanawapata mama zetu kila kukicha.
Magonjwa gani ?
 
Maneno yamekuwa mengi tangu vibarazani mpaka kwa madaktari kukisia dawa ya ugonjwa unaowasumbua baadhi ya wanaume.

Waganga wa kienyeji nao wanajipatia riziki kwa kuuza dawa wanazosema zinasaidia kuongeza nguvu za kiume lakini bado tu tatizo lipo.

Mabarabarani nako utakutana na wasichana wauzaji vyakula vya asili wakisema vinarudisha hizo nguvu lakini bado tu tatizo linaendelea kusumbua.

Chanzo kikubwa cha kupungua nguvu za kiume ni wanaume kuangalia wanawake wanaotembea nusu uchi.

Kwa shani yake Mwenyezi Mungu kawaumba wanawake katika maumbile mazuri sana na kuvifanya viungo vyao vivutie jicho la mtazamaji. Hakumalizia hapo akawataka viumbe wake wavae nguo ili kuvifuniko viungo hivyo ili visionekane kwa wasio waume zao.

Hata wakiwa kwa waume zao huko ndani pia wanatakiwa wasijiachie moja kwa moja.Wavae mavazi mepesi kama kwamba wanawaonea haya waume zao hao.

Athari ya wanawake kuonesha mapambo ya viungo vyao huko nje ni kuwa wanaume hata wasiopenda kuwaangalia huwa wanawaona na kugandisha sura zao akilini mwao.

Wanapofika ndani badala ya kukazia kuawaangalia wake zao akili huwa zinawarudisha kule barabarani. Kwa kila uzuri alionao mke wako lazima kutakuwa na wengine uliowaona wakiwa nusu uchi wakiwa wazuri kuliko wa kwako.

Mwisho wa yote matamanio yanagawnyika baina ya pale
na kule barabarani

Mwisho wa yote matamanio yanagawnyika baina ya pale chumbani na kule barabarani.
Huu ni upuuzi mtupu umeandika. Wew unapenda watu wavae mashuka mda wote ndo tatizo la nguvu za kiume litaondoka? . Njoo na tafiti zinazoprove kwamba wanawake wakivaa mashuka kufunika maungo yao tatizo hili la nguvu za kiume litaisha la sivyo huu ni upuuzi tu baada ya kushiba uji ukaona usumbue watu
 
Mtafiti mimi mwenyewe.Na kama huu utafiti wangu umeuona ni upuuzi hebu tupe sababu kwanini hili tatizo halikuwa kama hivyo miaka ya nyuma kidogo.
 
Kuna mwamba mmoja amekujibu vizuri tu umekaza ubongo. Eroo tatizo la nguvu za kiume kulingana na tafiti nyingi za kitabibu ni life style za watu kuanzia diet, mazoezi na matatizo ya kiafya kama vile magonjwa ya kisukari ndio chanzo kikuu Achana na hyo habari ya mashuka mzee
 
Angalia aina ya vyakula wazee wetu walivyokuwa wanatumia sio sawa na hivi vya leo. Mfano leo watu wengi sana wanakula vyakula vya supermarket (canned foods) watoto wanapewa mayai ya kisasa na majuice ya kusindika kibao hapo unategemea nn kwa mtoto wa kiume? . Mfano mm kuna watot wengi wa umri kati ya miaka mitano mpak saba yan unashindwa kujua huyu ni wa kike au wa kiume? Doh
 
Mtoto mdogo wa kiume anatembea anatikisika kuanzia bega mpaka makalio ful kudeka anaita tu dady! Dady! alafu mzazi unatoa meno e? Sawa utavuna unachomwagilia. mtoto mdogo wa kiume ana KITAMBI, ana makalio makubwa na bado anadeka ivi unafikiri hyu nguvu za kiume atazitoa wapiiii?? Eroo
 
Kwa shani yake Mwenyezi Mungu kawaumba wanawake katika maumbile mazuri sana na kuvifanya viungo vyao vivutie jicho la mtazamaji. Hakumalizia hapo akawataka viumbe wake wavae nguo ili kuvifuniko viungo hivyo ili visionekane kwa wasio waume zao.
Zamani mababu zetu na mabibì zetu walikuwa wanashinda almost uchi, hakukuwa na ulawiti, ubakaji wala upungufu wa nguvu za kiume.

Nenda fasta msikitini katafute wa kuwadanganya lakini sio hapa JF.

Ulaji mbovu, mfumo mbaya wa maisha ndio chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume
 
Kuna mwamba mmoja amekujibu vizuri tu umekaza ubongo. Eroo tatizo la nguvu za kiume kulingana na tafiti nyingi za kitabibu ni life style za watu kuanzia diet, mazoezi na matatizo ya kiafya kama vile magonjwa ya kisukari ndio chanzo kikuu Achana na hyo habari ya mashuka mzee
Tafiti za kitabibu zinaishia wapi.Kama ni kweli zipo zingeaminiwa na kutumiwa na serikali lakini haya matatizo hata mama Samia anayajua na hajaelekeza wizara zianze kutumia tafiti za kitabibu kueondosha tatizo.Sikusudii raisi wa Tanzania peke yake na hata wa Kenya na kwengineko hawajaamini hizo tafiti kwa vile sio za kweli kwenye hili tatizo.Zingekuwa tafiti zimejua tatizo basi sera zingeshatungwa kubadili hiyo munayoita lifestyle.
 
Back
Top Bottom