"sasa wewe hii tiba huipendi kwakuwa inahusiana na wanachofanya waislam" hiki sasa ndio ulichokusudia na sio hicho kichaka cha nguvu za kiume.Tatizo la nguvu za kiume sikulianzisha mimi.Nimelisikia tu na mimi nikaona niingie kutafiti.Sasa wewe hii tiba huipendi kwa kuwa inahusiana na wanachofanya waislamu.Kuhusu kujisitiri si lazima uvae hayo unayoyaita mashuka meusi, Hata wakristo kama hawataki kuvaa magauni kama aliyovaa bikira Maria basi angalau wasivae nguo za kubana na nyepesi.Wavae vitenge vyao vizuri na watakuwa wamejisitiri.